Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

Wekeni uhalisia ubaoni, mnatuambia habari za matokeo tu ambayo hata hatujui kama ni kweli au la! Ya nini sisi?

Mara mnatumia ilani ya chama, mara BRN, mara mipango ya milenia! Tuambieni tulipo, mipango ikoje, itatekelezwa vipi, na hatua kwa hatua ya mipango tujuzwe na kuiona, kisha tutapima wenyewe kama UNAZURULA au la!

Sasa mimi sijui kama tuna vikwazo, unakuja kuniambia ulisafiri kwenda kuondoa vikwazo, vipi?
 
Raisi Samia anazunguka kwa ajili ya kuiletea maendeleo endelevu nchi yetu. Lisu anazunguka kwa ajili ya kukusanya michango ya kujaza tumbo lake na familia yake.
 
"Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu, nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani, sasa hivi kazi ni moja tu kuzunguka kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania" -Rais Samia akiwa Arusha leo
"Tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya mwanzo....."💪👍😍

SIEMPRE JMT
ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA ,aaamin🙏
 
Raisi Samia anazunguka kwa ajili ya kuiletea maendeleo endelevu nchi yetu. Lisu anazunguka kwa ajili ya kukusanya michango ya kujaza tumbo lake na familia yake.
.....boss wake huyu hapa chini....
IDU_David_McAllister-600x600.jpg
 
Wekeni uhalisia ubaoni, mnatuambia habari za matokeo tu ambayo hata hatujui kama ni kweli au la! Ya nini sisi?

Mara mnatumia ilani ya chama, mara BRN, mara mipango ya milenia! Tuambieni tulipo, mipango ikoje, itatekelezwa vipi, na hatua kwa hatua ya mipango tujuzwe na kuiona, kisha tutapima wenyewe kama UNAZURULA au la!

Sasa mimi sijui kama tuna vikwazo, unakuja kuniambia ulisafiri kwenda kuondoa vikwazo, vipi?
E65OMZ3WEAkIWlV.jpg
 
"Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu, nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani, sasa hivi kazi ni moja tu kuzunguka kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania" -Rais Samia akiwa Arusha leo
Thank you mama, umewajibu sawa kabisa
 
Safi kawazodoa ,mama sio mshamba kama wengine
 
CCM watakuwa na kazi kubwa sana kwenye kampeni aisee, Magufuri alisema hasafiri sababu nchi yetu ni tajiri wenye shida ndio wanakuja, huyu tena naona kama anageuza hiyo kauli.

sasa sielewi hawa watu huwa wanapewa Ilani au Ilani ndio inajichanganya namna hii
Huo utajiri ulio ardhini tunamuuzia nani kama si hao wa nje?!!!

Balozi zetu za nje zinahamasisha uwekezaji nchini....

Rais akitoka na kwenda huko ,nguvu hiyo HUONGEZEKA 💪
 
Huyu mama huyu aache uongo.

Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje kuanzia mwaka 1995 mpaka 2010. Waziri wa mambo ya nje, hivyo kama kuna mtu alicheza huko nje alikuwa ni Mheshimiwa Kikwete.

Then alipokuwa Rais sasa ikawa ndio kama karogwa, mwaka 2015 Rafiki yangu Mheshimiwa Membe alisema kwamba kipindi cha mwaka 1995 mpaka 2010 watumishi wa serikali walikuwa wanapishana anganani kama vile huku chini kunawaka moto.

Maanake Kikwete alikuwa anasafiri asikuambie mtu, na kimsingi safari zake zote zilikuwa ni katika ufujaji tu, sababu mpaka sasa sielewi tulifaidika nazo kivipi, kuna kipindi alienda akapiga picha kibao ofisi za google, aliporudi hapa akadai google wanakuja, then google wakaja kweli KENYA.

Kuna kipindi sijui alikosana nini na akina mseveni, yaani hapo sasa ndio alikomeshea, akina mseven wakikutana Kampala yeye huyo London, akirudi akakuta bado wanaendelea na vikao vyao kampala anaingia ikulu anabadiri nguo huyo tena New York.

Sasa naanza kuamini inawezekana kweli kuna mambo kikwete anamuambia huyu mama
Fitina kwa wingi!!!
 
Tuna kazi kubwa sana kama Taifa na huu Mzigo wa kuliondoa taifa ktk hekaya za Abuasi ni mimi mwenyewe

Inabidi niwasaidie wananchi kuwatoa ktk hili giza
 
"Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu, nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani, sasa hivi kazi ni moja tu kuzunguka kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania" -Rais Samia akiwa Arusha leo
Enhe! Ulicheza michezo kwenye nchi nyingi, tuambie michezo gani hiyo?
 
Huyu mama huyu aache uongo.

Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje kuanzia mwaka 1995 mpaka 2010. Waziri wa mambo ya nje, hivyo kama kuna mtu alicheza huko nje alikuwa ni Mheshimiwa Kikwete.

Then alipokuwa Rais sasa ikawa ndio kama karogwa, mwaka 2015 Rafiki yangu Mheshimiwa Membe alisema kwamba kipindi cha mwaka 1995 mpaka 2010 watumishi wa serikali walikuwa wanapishana anganani kama vile huku chini kunawaka moto.

Maanake Kikwete alikuwa anasafiri asikuambie mtu, na kimsingi safari zake zote zilikuwa ni katika ufujaji tu, sababu mpaka sasa sielewi tulifaidika nazo kivipi, kuna kipindi alienda akapiga picha kibao ofisi za google, aliporudi hapa akadai google wanakuja, then google wakaja kweli KENYA.

Kuna kipindi sijui alikosana nini na akina mseveni, yaani hapo sasa ndio alikomeshea, akina mseven wakikutana Kampala yeye huyo London, akirudi akakuta bado wanaendelea na vikao vyao kampala anaingia ikulu anabadiri nguo huyo tena New York.

Sasa naanza kuamini inawezekana kweli kuna mambo kikwete anamuambia huyu mama
Kama anamaanisha michezo mingine wewe unajua?
 
Back
Top Bottom