RAIS SAMIA, MSIBANI KWA BABA WAMBURA

RAIS SAMIA, MSIBANI KWA BABA WAMBURA

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,165
Reaction score
898
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
IMG-20261027-WA0092.jpg
IMG-20261027-WA0093.jpg
IMG-20261027-WA0091.jpg
IMG-20261027-WA0088.jpg
IMG-20261027-WA0087.jpg
IMG-20261027-WA0089.jpg
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
IGP anakaa zake Masaki.
 
wapinzani

wapinzani na ndugu zao wanaharakati wakiiona hii picha watashikwa na ganzi ghafla maana waliaminishana rais anaumwa sijui kaparalaizi kiko wapi? wameshindwa siasa wanahamia kwenye chuki imewasaidia nini?
 
A
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
Ameenda kumfariji MUUAJI MWENZIE

IPO SIKU ISIYO NA JINA
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
Mtume Mwamposa kuna muujiza huku. Maiti yaenda kuaga maiti nchini Malawi
 
Inakuwaje Wauaji wanaona kifo ni tendo la kuumiza! Nilidhani kwao kifo ni jambo la kawaida sana, ndiyo maana wanaona kuua ni jambo rahisi.

Hapa ujumbe upo dhahiri: Wauaji ni wamoja, wanakumbukana sana na kufarijiani. Kazi ipo kwetu wananchi wa kawaida ambao wauaji wanatofanyia huo uharamia wa kuteka, kuua na kubambikia kesi, je tuna umoja wa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom