RAIS SAMIA, MSIBANI KWA BABA WAMBURA

RAIS SAMIA, MSIBANI KWA BABA WAMBURA

Mi naamini sio AI hii!maana!!?
Mama yuko lelelele, achana na uzushi wa mitandaoni.

JK ndio hadi kwenye harusi yupo anacheza Kwaito.

Nilishajifunza kutowachukia watu hawa ni kujipa vidonda vya tumbo tu bure.

Kuna mwalimu tulikuwa hatumpendi shuleni basi huyo mwaka mzima hana dharura wala haumwi hata mafuwa hana absent siku zote yupo hakosekani hata siku moja.

Sasa ndio mjifunze kuishi na hawa wachukulieni kawaida na kama kuna deal unaziona changamkia piga nao deal ufanye maisha, hawa wanasiasa nyinyi mnakaushana mate wakishashake hand wanagawana mkate mambo yanakwenda.

Hamjifunzi kinachoendelea Zanzibar? Ni kimya tule wote.
 
Naelewa sana!!
Hofu kuu

Zama hizi yeyote anaweza kupotea kivyovyote vile na kusiwe na majibu!!

Utamaduni umeanzishwa huu!!

Sisi lolote linaloandikwa kitaa hatuchukulii poa kabisa!!
Utu ni kujuliana Hali,kama mwenzio haonekani na hakuna majibu lazima wahoji!

Hayati jpm walianza hivi hivi kama nchimbi asivyoonekana,baadae ndio ikawa vile!

Hatupuuzi lolote!
 
siyo kwa sababu wanamjali wa kuondokewa na mzazi wake la hasha, bali they need him, shetani is master of deception. ...
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574

Hawa wawili ndio walikula njama na kuwaua Watanganyika kuanzia tarehec 29 Oktoba 2025 hadi 05 November 2025.
Wambura ndiye alikaimu urais na kujipa mamlaka ya kutangazia hali ya hatari kinyume cha sheria, huyu polisi aliinajisi hata Katiba ya nchi kwa kujivika mamlaka asiyokuwa nayo; kama Samia angekuwa muumini wa sheria na Katiba Wambura alitakiwa kuondolewa kazini.

Vv
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
Ila sijaona kumbukumbu yeyote.ya msibani kwà mhanga wa oct29🤔
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.
View attachment 3699569View attachment 3699570View attachment 3699571View attachment 3699572View attachment 3699573View attachment 3699574
MSILETE TAHARUKI KIFO NI KIFO
 
Back
Top Bottom