Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,651
Sema mi namkubali sana huyu Mama maana anaishi maisha yake tofauti na wamama wengi na mawigi kama kina Jenista.........Mumewe pia Prof Mukangara kama mtu kasoma UDSM na kasoma course yake ya International Relations,anafundisha wanafunzi kufaulu na kumuelewa na si kukomoanaSalaam Wakuu,
Dada wa Taifa Dr. Fenera Mkangara kaifanyia Makubwa Tanzania, sio Vizuri kumuacha anahangaika Mtaani.
Ni Mwana CCM asiye yumba. Kama kamkosea Rais Samia naomuombea Msamaha. Bado anazo nguvu za kulitumikia taifa.
Mara ya Mwisho kumuona Majukwaani ni Uchaguzi wa 2015.
Kwanini katupwa? Sijasikia kama ana Makundi kiasi kwamba asiwe hata msaidizi wa Balozi.
View attachment 2415853View attachment 2415854
