Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

Mimi kajamba nani nikivaa nguo sirudii😎😎 labda uniform za kazini itakua mama jamani
Ni hulka yetu wanawake
Tuna manguo mengi
Kila siku tunaingiza mzigo mpya na bado tukitaka kutoka huwa tunatafuta nguo za kuvaa hatuzioni 😅

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Saaafi
 
Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Wew unamuonaga wapi kila saa utujuze na sie tukamuone, lakini Mimi mwenyew ni mwanamke nikishinda home nikifua nabadili nikilala mchana nikaoga nabadili Dera langu nikipika nikimaliza nabadili sembuse yeye raisi? Acha aenjoy life is too short
 
Kuna yule mbunge kenya alilala na nguo aliyotoka kufanyia kazi mchana wakampiga picha ikavuja ilikuwa ya maadili mabovu
 
khaaaah
 
Kama Zuchu tu anabadili nguo mara 3 kwa siku,
Why Mheshimiwa Rais
Rais ni Bland ya Taifa
Anatakiwa avae kwa kubadili zaidi ya mara 10 kwa siku.
Mama anajari na Kuthamini jamii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…