#COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

Waziri wa Afya Dk. Dorothy Gwajima amesema Rais @SuluhuSamia siku ya Julai 28, 2021 katika Ikulu ya Dar es Salaam atazindua zoezi la kuchanja chanjo ya Corona aina ya Janssen, ambapo Rais Samia atachanjwa.

Chanzo : @wizara_afyatz

View attachment 1869420
Mzungu kasema.
JamiiForums-931951656.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chagua jibu sahihi:

(a) Wazungu wanatupenda sana ndio maana wametuletea chanjo kwa kujali Afya zetu

(b) Wazungu wameleta chanjo km majaribio kujua ufanisi wake.

(c) Chanjo iliyoletwa ni kwa ajili ya kuleta maafa na madhila kwa wa Africa
 
tupo tayari kuchomwa chanjo, kwa kuwa ni hiari basi kwa hiari yetu tutachomwa mara baada ya uzinduzi.
Chanjo ni muhimu kwa uhai wetu.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021

Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021...
Waliokuwa wanamshauri JPM wakikutana na barua hii wanajifunza nini ?
 
Rais mbumbumbu toka tupate uhuru

Aende akakatwe Togo pesa huko
Hahahaha!

Hizi siasa bhana!

Wanachadema mnapigania uhuru wa Demokrasia huku mnaipiga vita Demokrasia. Kauli za namna hiyo wakizitoa CCM kuzielekezea kwa Mbowe mnalalamika mpaka basi.

Tanzania hamna vyama vya upinzani, wanaruka ruka tu! Akitokea mpinzani wa ukweli tutaungana nae. Ila kwa sasa hamna kitu! Hamna kitu yaani.
 
Hahahaha!

Hizi siasa bhana!

Wanachadema mnapigania uhuru wa Demokrasia huku mnaipiga vita Demokrasia. Kauli za namna hiyo wakizitoa CCM kuzielekezea kwa Mbowe mnalalamika mpaka basi.

Tanzania hamna vyama vya upinzani, wanaruka ruka tu! Akitokea mpinzani wa ukweli tutaungana nae. Ila kwa sasa hamna kitu! Hamna kitu yaani.
Ni kweli kabisa, hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kujiunga na chama cha magaidi.
 
RAIS wa JMT Mama Samia, Jumatano Julai 28,2021 saa 3 asubuhi, Ikulu ya Dar es Salaam, atazindua chanjo ya corona kwa kuanza kuchanjwa chanjo hiyo. Baada ya uzinduzi huo Wizara ya afya itaendelea na taratibu zingine za usambazaji wa chanjo hiyo.

Source
#NipasheHabari
 
Back
Top Bottom