dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,403
- 19,425
Kamanda wewe nae utachanjwa?RAIS wa JMT Mama Samia, Jumatano Julai 28,2021 saa 3 asubuhi, Ikulu ya Dar es Salaam, atazindua chanjo ya corona kwa kuanza kuchanjwa chanjo hiyo. Baada ya uzinduzi huo Wizara ya afya itaendelea na taratibu zingine za usambazaji wa chanjo hiyo.
Source
#NipasheHabari