Kiongozi wetu ni product ya Illboru special school, wa kwenu machawa ni form four failure...yaani ni kilaza!.
Hapo chacha product ya Iliboru special School
Tena kipande cha Baba
Anaenda kutegemea Msosi Kutoka kwa Mama Tena unamwita kilaza!!!
Kule kukunja ngumi pale Mahakamani ni matunda ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan baada kusaini bajeti ya Wizara ya mambo ya Ndani ya nchi ✍️
Ndipo mhe Lissu anakula saa 7 kamili na kwenda
chooni kwa wkt
Lau sio
Alikosa msosi siku moja tu Mahakama iligeuka msibani Wamama wanalia kitambi cha mwenyekiti kimekosa
msosi ❗
Ndiomana tunashangaa kusikia Mgomo kwa yule yule mwenye kulilia Msosi wa MAMA 🤠 🤠 ¿