Rais Samia kuzindua mji wa kiserikali Mtumba, Dodoma

Rais Samia kuzindua mji wa kiserikali Mtumba, Dodoma

Mama amechoka Akili huyuuu...
Hii miradi yote ilikuwa chini ya magufuli, muda wake wa kufa umekaribia na Hana mradi wowote wa maana Hadi Leo

Pole sana nyumbu mradi wa kitaifa wewe unateseka kiakili ❗

Nanyinyi mtakatifu wenu leo kazindua mgomo wa kula kwa nyumbu wote 😳😳

mbona sisi hatununi na mafanikio yenu🤠

Mji wa Kiserikali mjini Dodoma sio Zanzibar !!

mkija kutawala nanyinyi si mtautumia na mtakatifu wenu ndugu mhe mtukufu
Tundu wa Lissu ✍️
 
Mkapa na kiwete huwezi kuwafananisha na huyu kiazi
Huyo kiazi kajenga barabara 2000km, kumalizia bwawa la umeme lililokua 30%, kajenga vyumba vingi vya madarasa msingi na sekondari,reli kaifikisha dom wakati magu miaka mitano morogoro tu shida alibaki na ahadi hivi karibuni itaanza,huyo kiazi mpaka diploma wanapata mikopo,kiasi hospital na zahanati za kutosha,anaajiri,anapandisha madaraja,kavutia uwekezaji kuliko magu na mkapa,huduma za mama na mtoto Bure, kajenga viwanja vitatu Arusha na zenji na dom,mkapa alijenga kimoja
 
Miradi ipi ya magufuli?hiyo ya magufuli ilifika wapi?ilipaswa kuendelea au kuachwa? kila rais lazima awe na mradi mpya?..na unataka miradi ipi mipya?

Kumaliza ilikuwa ni lazima aimalize. Sasa aanze miradi yake tuone siyo kila siku watu kutekwa tu.

Au unataka twende miaka 15 na miradi hiyo hiyo tu.
 
Back
Top Bottom