Akili yako kama SUBWOOFER JOBO NDOOGAYNdo ashavaa sasa hama nchi.
Wakimyakimya[emoji2960][emoji2960]Bibi ushungi ni katili haswa
wa waziWakimyakimya[emoji2960][emoji2960]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312] acha ufala aseeMimi hata akivaa Bikini ila mambo yaende....
Ingawa mambo yanakwenda bado sijajua kama ni nyuma au mbele..., ila haya ya mgao wa umeme yanapelekea kuona / kudhani labda tunakwenda nyuma
Ni mrembo haswa, sijui ni lini mmewe atampa takala ili njema nyengine imdake na kumpa ligwaride linalo mstahili... amemfaidi vya kutosha... kwa kweli...Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"View attachment 2011620
[emoji849][emoji849][emoji849] swala sio kupendeza ni UJUMBE anaoufikisha kwa jamii Marais wa ULAYA NA AMERIKA wanavaa??mama kapendeza kwa kweli
[emoji1313][emoji1313]wa wazi
Weee 1st gentleman anamuachaje MJEDA?Ni mrembo haswa, sijui ni lini mmewe atampa takala ili njema nyengine imdake na kumpa ligwaride linalo mstahili... amemfaidi vya kutosha... kwa kweli...
We jamaa nlikuwa nakuheshi kumbe KENGE kiasi hiki?Kwa hiyo Amiri Jeshi ulitaka avae ovaroli ama?
Duniani kote huwa wanavaa wakiwa katika hafla maalum za kijeshi sio ajabu wala kutishana
[emoji851][emoji851][emoji851]Kapendeza kweli
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312]Nadhani atakuwa anamtisha mume wake
Yaani nitishwe na raia mkakamavu.Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"View attachment 2011620
Sio takwa la kikatiba kuvaa hizo nguo,ivo hakukua na tatizo wao kutovaa wakati wakiwa kweny hiyo nafasi.Jk ambaye alikuwa KANALI wa JESHI alishawahi kuzivaa akiwa AMIRI JESHI MKUU au Mwinyi au Mkapa?
Wachaaa weweeeeAkili za kichadema ni janga
Mwl Nyerere alishavaa za JWTZ na za Frelimo. Ni mambo ya nyakati na nyakati & enzi na enzi. Yuko vema Rais Samia.Jk ambaye alikuwa KANALI wa JESHI alishawahi kuzivaa akiwa AMIRI JESHI MKUU au Mwinyi au Mkapa?
Wacha utani mkuuUshawahi kumuona hata KIDUKU wa N. KOREA akivaa sare za jeshi?