EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
- Thread starter
- #141
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaokotwa mitaa ya mpakani mwa tanzania na burundi huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaokotwa mitaa ya mpakani mwa tanzania na burundi huyo.
[emoji851][emoji851][emoji851]Unajua maana ya Hangaya kwa kisuku?,ulizia
Achaga maujinga yenuPinga pinga FC kazini.....
Nasubiri unikosoe Kama kawaida yako kwa kuniwekea ile "picha" yako iliyozoeleka humu ndani......[emoji1787][emoji1787]
[emoji102][emoji102]Ukiona mtu mweusi ujue shida tu. Apate pesa uone rangi yake halisi
Hawa KENGE ni WAJINGA SANAHuyo ni raia tu tena nanga mkubwa tu. Hujui kitu chochote kuhusu jeshi.
Jua linazama utakosa nauli wahi ofisi ya kata mhasibu anadharura anataka kutoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha ha[emoji1787][emoji1787] mdomo mali yako komredi
Alikuwa kanali kama mwanaccm jeshiniJk ambaye alikuwa KANALI wa JESHI alishawahi kuzivaa akiwa AMIRI JESHI MKUU au Mwinyi au Mkapa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312] usimfananishe mazaa mswalihina na huyu[emoji482][emoji482]
Kwani leo LAZIMA?Kwani ilikuwa lazima kwao?
Kumbe huna akili kiasi hiki "lost sperm"[emoji22][emoji22][emoji22]Huna hoja nyumbu wa mtaa wa ufipa, badala ya kuwashangaa nyumbu wenzako wa chadema kwa kuvaa magwanda ya mgambo unaleta ukiazi wako mbona mtaa wa ufipa mmekuwa viazi sana [emoji23][emoji1787]
Wahi utachelewa? Ofisi ya mjumbe wa mtaa shauri yako?[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Kiazi hicho Cha mtaa wa ufipa hakina hoja kinatapatapa tu [emoji23][emoji1787]
Usiwawekee watu maneno nikipata picha yako naweza andika lolote acha UPUUZI!!
Nina uhakika EINSTEIN112 anaona aibu. Ameleta mada ambayo hajaifanyia utafiti.
Aya ya pili ndio umezingua mkuu[emoji1756][emoji1756][emoji848][emoji848]Kazi ya jeshi inapendwa na wengi, licha ya kua amiri jeshi mkuu ila kuvaa magwanda ni ishara ya kutojiamini. Sasa sijui anamuogopa nani, au sijui anamtisha nani? Au ndio mambo ya fashion.
Ila yamempendeza, aendelee kuyavaa kwenye mat ukione yanayohusiana na jeshi
Shauri yako??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chukua boda chap[emoji965][emoji965] utatembea kuelekea homeViazi vya bavicha ni janga kubwa
Kichwa usifugie nywele tu ubongo umejaa kamasiUmeshasema ni amiri Jeshi halafu unayashangaa tu magwanda?!!! Khaaa [emoji15][emoji15][emoji1787]
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Incompetent politicians waliopata madaraka kama ajali huo wanahisi kuficha madhaifu yao kwa kujipendekeza kwenye jeshi na kulitaka jeshi limsaidie kila kitu hadi kazi zake za siasa
Hii yote ni sababu tumepata the lowest caliber of politicians na mbaya zaidi kapata madaraka kwa ajali,pure accident,hakuna kitu hapo!
Awamu ya tano/sita iliingia kwa mtutu wa bundukiNimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI
HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI
View attachment 2011620
Na Cpt. Komba?Alikuwa kanali kama mwanaccm jeshini