Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Tuendelee kuheshimiana tu na siwezi kukuita Kenge ila nimemuona Rais wa France akiwa kavaa gwanda
Bush kayavaa sana na hata Obama kavaa pia ingawa najua hao ni magaidi wakubwa

Huwa ninajua ninachoandika bila kukurupuka na wewe pia ungejiridhisha kwanza

Nitake radhi kwani umenikosea sana
Haina haja ya kuvunjiana heshima ingawa hatujuani

View attachment 2011938
View attachment 2011941
View attachment 2011942
View attachment 2011945
Hii pia ni sare ya Jeshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312]
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
Una malalamiko ya kipumbavu.



Uncle futa hayo malalamiko

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tuendelee kuheshimiana tu na siwezi kukuita Kenge ila nimemuona Rais wa France akiwa kavaa gwanda
Bush kayavaa sana na hata Obama kavaa pia ingawa najua hao ni magaidi wakubwa

Huwa ninajua ninachoandika bila kukurupuka na wewe pia ungejiridhisha kwanza

Nitake radhi kwani umenikosea sana
Haina haja ya kuvunjiana heshima ingawa hatujuani

View attachment 2011938
View attachment 2011941
View attachment 2011942
View attachment 2011945
Jamaa ni mkurupukaji kweli.....

Licha ya kukumbushwa hayo katika michango mingi hapa bado tu anang'ang'ana 🤣🤣

Huu nao ni aina ya UCHIZI......
 
Hii pia ni sare ya Jeshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Hizo sasa ndio za Amri Jeshi
Maraisi wanapikutana na wanajeshi huwa wanavaa hivyo
Hapo Bush kavaa jacket ya Amiri Jeshi mkuu na sio kaazima kwa sergeant mmoja hapo

Yaani unabisha ili kupotezea kuniita kenge au hutaki kukubali kuwa umenikosea

Anyway I forgive you
Have a nice evening
 
Jamaa ni mkurupukaji kweli.....

Licha ya kukumbushwa hayo katika michango mingi hapa bado tu anang'ang'ana [emoji1787][emoji1787]

Huu nao ni aina ya UCHIZI......

Yeye kaniita kenge bila kujiridhisha halafu tatizo hajui kuwa hata mimi nimepita huko sana tu

Hilo jacket kavaa Bush na Obama inatosha kabisa kumuonesha kuwa ni Amiri Jeshi Mkuu ila jamaa hajui huwa wanavaa nini

Na bado mbishi haswa ila nimemsamehe kwa kuwa hajafanya utafiti kisa tu nimesema alitaka avae Ovarall [emoji23][emoji23]
 
Hii pia ni sare ya Jeshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Kumbe ulijua mabakamabaka tu ndio sare za Jeshi aisee hata kama hujapitia Jeshi lakini hata taarifa za habari huwa zinakupita

Hilo jacket hata Chief of Staff hawezi kulivaa maana sio la cheo chake
Naona umecheka sana ukifikiri kavaa jacket la mtumba ama
IMG_3179.jpg
 
Yeye kaniita kenge bila kujiridhisha halafu tatizo hajui kuwa hata mimi nimepita huko sana tu

Hilo jacket kavaa Bush na Obama inatosha kabisa kumuonesha kuwa ni Amiri Jeshi Mkuu ila jamaa hajui huwa wanavaa nini

Na bado mbishi haswa ila nimemsamehe kwa kuwa hajafanya utafiti kisa tu nimesema alitaka avae Ovarall [emoji23][emoji23]
Anajidai yeye peke ndiye anayelijua jeshi humu ndani.....🤣🤣

Mkuu wangu hana hoja huyo....
 
Kumbe ulijua mabakamabaka tu ndio sare za Jeshi aisee hata kama hujapitia Jeshi lakini hata taarifa za habari huwa zinakupita

Hilo jacket hata Chief of Staff hawezi kulivaa maana sio la cheo chake
Naona umecheka sana ukifikiri kavaa jacket la mtumba ama View attachment 2011994
Mpe shule huyo.....🤣🤣
 
Kiazi Leo utatoa kila aina ya sababu siku nyengine usikurupuke
Jamaa chenga kweli yaani kakurupuka na anapoeleweshwa na members anang'ang'ana tu🤣🤣🤣

Hivi kweli ameshawahi japo kupata ustaarabu wa hata kidato cha 4?!!!!🤣
 
Back
Top Bottom