Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025 wakati akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ufunguzi wa fainali za CHAN 2024 Tanzania vs Burkina Faso utakaochezwa Auguts 2, 2025 uwanja wa Benjamin Mkapa.

"Katika kuchagiza hamasa kwa Timu yetu ya Tanzania, Rais Samia ametoa ahadi ya donge nono la fedha Tsh. bilioni, sio milioni ni bilioni yaani mabii, bilioni 1 kwa Vijana wetu wa Taifa Stars, iwapo watafanikiwa kutwa ubingwa wa mashindano haya ya CHAN 2024, Mcheza kwao hutunzwa na yeye ameamua kuwatunza"

Chanzo: Millard Ayo
 
Mtu kupata Kichaa siyo lazima abebe makopo.
 
Lengo ni nini? Timu ya Taifa haitakiwi kuhadiwa mapesa bali wanatakiwa kujituma ,kama wanategemea mshiko ili wafanye vizuri sio wazalendo na wafungwe tu
 
Hizo fedha anazogawa makanisani na kwenye timu za michezo anatoa wapi huyo mama?.
 
Kwanza hiyo ni kazi yao... Pili Bingwa anapewa pesa na Caf, sasa hizo Billion wanazopewa naona kama ni kuchezea hela tu.
 
Ukweli kabsaaa
Tufute Yale manenoo ..... Kichwa cha mwenda wazimuuu....
 
Wazalendo tuingie kwenye maombi itolewe haraka haraka kwenye mashindano.
Bilioni moja ni kituo cha afya kilichokamilika
 
Nakumbuka kikosi cha Taifa stars Captain akiwa Omary Hassan King wa Unguja 1980s kilikuwa moto kweli Kweli 😄🇹🇿
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025 wakati akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ufunguzi wa fainali za CHAN 2024 Tanzania vs Burkina Faso utakaochezwa Auguts 2, 2025 uwanja wa Benjamin Mkapa.

"Katika kuchagiza hamasa kwa Timu yetu ya Tanzania, Rais Samia ametoa ahadi ya donge nono la fedha Tsh. bilioni, sio milioni ni bilioni yaani mabii, bilioni 1 kwa Vijana wetu wa Taifa Stars, iwapo watafanikiwa kutwa ubingwa wa mashindano haya ya CHAN 2024, Mcheza kwao hutunzwa na yeye ameamua kuwatunza"

View attachment 3416997
Chanzo: Millard Ayo
Hizi fedha huyu mama huwa anazitoa wapi ?
 
Lengo ni nini? Timu ya Taifa haitakiwi kuhadiwa mapesa bali wanatakiwa kujituma ,kama wanategemea mshiko ili wafanye vizuri sio wazalendo na wafungwe tu
Una roho mbaya hata kwa watanzania wenzako?
 
Back
Top Bottom