Pima hoja zako utaona nani mjingaUna hakika mjinga sio wewe kweli?
Pima hoja zako utaona nani mjingaUna hakika mjinga sio wewe kweli?
Anajua bado yeye ni secretaryUsitutishe
Mwanamke hana uwezo wa kuongoza nchi na imedhihirika kupitia huyu mama hawezi chochote hafai kuwa rais
Hana maamuzi wakati yeye ndiyo muamuzi top
Anaongea kama mkuu wa wilaya vile
Kauli zake zinashangaza sana
Na zinaonyesha kwamba hawezi chochote
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ukiona mtu anamsifia mama kama ww kuna mahala umedumbukiza mrijaMama ACHA wakuone kama hufai lkn ukweli ni kwamba your the best ever ,umeliponya taifa huu wizi ni asili ya chama chako ukipingana nao sana utapotea wewe kula na vipofu lkn jitahidi sana usituache bila katiba Mpya utatusaidia sana watanzania, umezungukwa na wezi tupu amini hilo.
Unashangaa tena nakuhakikishia hiyo invoice imelipwa kabisaAise umemuelewa vibaya mh Rais Dr Samia alisema anashangazwa na over invoice iliyoletwa na siyo tayar pesa zilikwenda huko
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ebu acha ujinga na wewe, wewe unadhani Samia ana uchungu wa matumizi mabaya ya pesa za umma?Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Sawa mkuuEbu acha ujinga na wewe, wewe unadhani Samia ana uchungu wa matumizi mabaya ya pesa za umma?
Akiwa aktia na tule tu maneno twake twa english basi mnahisi mna Rais wa kuwaogofya mafisadi. Aiseeh mtaliwa sana na sana hadi akili ziwakae sawa.
Anamzidi Kikwete ?Ni Rais dhaifu kuwahi kutokea duniani
Kazi nyepesi kumtetea muuaji JPMKumtetea mama ni kazi sana
Hana uchungu mwenye uchungu yule aliyepiga trillion 1.5 halafu CAG kusema hazina maelezo akamtimua na kazi badala ya kufanyia kaziEbu acha ujinga na wewe, wewe unadhani Samia ana uchungu wa matumizi mabaya ya pesa za umma?
Akiwa aktia na tule tu maneno twake twa english basi mnahisi mna Rais wa kuwaogofya mafisadi. Aiseeh mtaliwa sana na sana hadi akili ziwakae sawa.
Ukiona mtu anamchukia huyu mama basi jua atakuwa ni sukumagang au ndugu yake Ole SabayaUkiona mtu anamsifia mama kama ww kuna mahala umedumbukiza mrija
wagen hawaruhusiw kuchangia ? waswahili mnapenda wagen waige ujinga wa wenyejKakaribishwa leo sijui jana jukwaani analeta zogo
sabab anasema tulikuwa pabaya basi ilibidi afanye zaid ya aliyekuwa kiongoz kipind tupo pabaya badala yake rushwa imekithiri , uonevu umekithiri , watu hawapo responsible kweny ofisi zaoKama hujui eneo analofanya vzur basi we ni kiazi
muulize kipi kakiacha marehem kuoneshaba aliiba 1.5TillionUthibitisho ni upi sio mnaongea vitu ambavyo havina substance
kwahiyo hakupaswa kufungua njia kwenye upande wa anga , Kuna muda nahisi tupo na zinjanthropus humu maana huez mlaumu Nyerere kupigania uhuru wetu wa kisiasa eti kisa leo ccm ina act kama mkolon , kila maamuz yanaeza kuja kukosewa baadae so huez acha njia ya mafanikio kisa vikwazo vyake , HUEZ KUWA NA MAENDELEO KAMA NJIA ZAKO ZA UCHUKUZ SIO BORA YAAN BADO WEWE NI TEGEMEZ KWA TAASIS ZA NJE , JPM MNAMCHUKIA LABDA KWAVILE ALIGUSA MAISHA YAKO ILA TAMBUA KOSA NI LAKO , HUEZ KUTOKUWA NA VYETI HALAFU UNANG'ANG'ANIA OFISI , UNA BIASHARA HALAF HUTAK KULIPA KODIHiyo midege muasisi wake ni nani acha tuanzie huko huko maana hakukuwa na nafasi kama hii ya kujadili mambo yake.
Ndio upeleke Vote 10 manunuzi eti?kwahiyo hakupaswa kufungua njia kwenye upande wa anga , Kuna muda nahisi tupo na zinjanthropus humu maana huez mlaumu Nyerere kupigania uhuru wetu wa kisiasa eti kisa leo ccm ina act kama mkolon , kila maamuz yanaeza kuja kukosewa baadae so huez acha njia ya mafanikio kisa vikwazo vyake , HUEZ KUWA NA MAENDELEO KAMA NJIA ZAKO ZA UCHUKUZ SIO BORA YAAN BADO WEWE NI TEGEMEZ KWA TAASIS ZA NJE , JPM MNAMCHUKIA LABDA KWAVILE ALIGUSA MAISHA YAKO ILA TAMBUA KOSA NI LAKO , HUEZ KUTOKUWA NA VYETI HALAFU UNANG'ANG'ANIA OFISI , UNA BIASHARA HALAF HUTAK KULIPA KODI
huez endelea kwa akili kama zako tuna safari ya mtu kuja kututoa uzinjanthropus huu , chuki inatutia ukipofu kwenye maswala muhimuNdio upeleke Vote 10 manunuzi eti?
Hakufanya vibaya ila mnapomsema Mama na nyie mvumilie ngumi za pua.huez endelea kwa akili kama zako tuna safari ya mtu kuja kututoa uzinjanthropus huu , chuki inatutia ukipofu kwenye maswala muhimu
Hivi wewe unajikutaga nani kutisha tisha wenzio?!Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Kama hafurahii sie tutajuaje?Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?