Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Usitutishe
Mwanamke hana uwezo wa kuongoza nchi na imedhihirika kupitia huyu mama hawezi chochote hafai kuwa rais
Hana maamuzi wakati yeye ndiyo muamuzi top
Anaongea kama mkuu wa wilaya vile
Kauli zake zinashangaza sana
Na zinaonyesha kwamba hawezi chochote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu
 
Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Hapo unaungana mojakwamoja na Rahisi wa mawe na madaraja
 
Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Mama amerudisha mshikamano wa Kitaifa uliovurugwa, watu wa CCMwalifanywa grade A, upinzani grade B, mama amerudisha usawa na furaha iliyopotea.Nimshauri tu Rais asicheke na majizi, yanaiba halafu yanaandika mabus majina ya wake zao.
 
Mama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuwa moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.
Vita aliyopigana maghufuli siyo rahsi kwa raisi yyte kutia maguu
 
Na kibaya zaidi anajua kwamba hana hata robo ya uwezo wa kuwa rais na wananchi hawampendi katu lakini kang'ang'ania madaraka kama ruba na ngozi ama chawa na uchafu
 
Chawa wake wakikusikia sasa
 
Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI

Mumshukuru kwa mliyotufanyia huku Zanzibar kwa zaidi ya miaka 60 , Ilikuwa alipize kisasi lakini kwa uungwana wake anawajengea nchi yenu iliyobomolews na mzimu wa Nyerere na wapambe wake kwa zaidi ya miaka 60.
Wacha Katiba mpya ije tubaki na nchi yetu na mbaki na majiwe na madongo na mama arudi nyumbani
 
Mama ACHA wakuone kama hufai lkn ukweli ni kwamba your the best ever ,umeliponya taifa huu wizi ni asili ya chama chako ukipingana nao sana utapotea wewe kula na vipofu lkn jitahidi sana usituache bila katiba Mpya utatusaidia sana watanzania, umezungukwa na wezi tupu amini hilo.
 
ila hii nchi ina raia wa hovyoo
 
Mama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuwa moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.
CAG alivyotoa ripoti yake ya 2020/2021 waliimba sana,ooh Jiwe alikuwa mwizi sana.Sasa ripoti ya 2021/2022 mambo hadharani, upigaji wa kasi 4G ulitamalaki chini ya Mama Maridhiano.
Mama yupo kimya kama hayupo!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TTCL wanadai Bilioni 21 ila hawajui wanamdai nani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom