Ahsante sana Mkuu....Unaakili sana mkuu mwiguilu alijua anamtetea mama kumbe ndo kamtumbukiza kwenye hayo makandokando
Uzalendo ni pamoja na kuwa mkweli.
Hakuna haja ya kulaumu kila kitu, au kutetea kila kitu kinachofanywa na viongozi wetu.
Pale panapohitaji sifa, tusifie bila kujali unampenda au humpendi.
Na panapohitajika kukosoa tufanye hivyo hivyo.
Tunachotaka ni maendeleo endelevu katika nchi yetu,
Ova.