Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Uthibitisho ni upi sio mnaongea vitu ambavyo havina substance
Sasa tuliota tulimsikia mwenye jukumu anadai 1.5 trillion haipo, baadae supika akamtaka aende mwenyewe mjengoni ama apelekwe akiwa amefungwa pingu [emoji28][emoji28][emoji28] baadae tukaambiwa upo muhimili uliojichimbia kisha mnyetishaji wa 1.5 trillion akalazimika kuikana kauli yake, tamati tukamuona kavaa kanzu na amepanda IST nyekundu anarejea kwake [emoji1787]
 
"unapomaliza kula nanasi ukanywa maji, utahisi machungu" 🤔🤔
 
Na hii thread isifutweee! Waacheni watanzania watoe nyongo zao. Na huo ndio mtazamo wa walio wengi.
Njooni huku niliko mfanye utafiti.
Watu wamechokaaaa!

Gharama za bidhaa ziko juu, tozo, makato ya kodi za majengo zaidi ya mara moja kwa madai ya kujisahau.
Mfumo unakosea? Au ni watu wanakula fedha za umma kimasikhara? Watu wanakonda kwa kuwaza maisha magumu wao wanasafiri kwa VIP!
 
Mama anafanya kazi nzuri sana , bigup kwake , angemongezea meno prime minister , mana usimamizi ni asili ya mwanaume ,
Mama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuwa moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.
 
Kuna kipindi mama alimpondea Magufuli kwa kusema mimi siwezi katukana mara simba wa Yuda mara nyinyi watu wazima!
Unipenda sifa ili uonekane mwema mwenzio mbaya matokeo ndo haya! Nae kaanza katukana huku maji yashazidi unga!
Tena nawaambie ufisadi wa CAG kichele ni mdogo sana!
Ni mdogo ukilinganisha na ule wa ex CAG si ndio?
 
Ni Rais dhaifu kuwahi kutokea dunianiwatu! Hakuna mfanya biashara anglia lodi kwa kumchekea! One sasa kwenye report ya CAG baadhi ya taasisi za serkali zimefanya maripo ya zaidi ya bilion 400 bila kutoa risiti!
Eti sitaki kodi ya kuonea!Yeye alimkuta mwenzie alishaanzisha msingi wa watu kuomba na kutoa risiti akaona hana maana akaanza lugha za kujikomba kwa watendaji na wafanya biashara matokeo ndo hayo!
 
Kuna kipindi mama alimpondea Magufuli kwa kusema mimi siwezi katukana mara simba wa Yuda mara nyinyi watu wazima!
Unipenda sifa ili uonekane mwema mwenzio mbaya matokeo ndo haya! Nae kaanza katukana huku maji yashazidi unga!
Tena nawaambie ufisadi wa CAG kichele ni mdogo sana!
Tofauti ni sauti tu. Yule alitumia sauti ya kukandamiza, yeye anatumia sauti nyororo. Neno stupid angelitamka yule lingesikika kuliko maneno yote, ila kwa yeye ni kama compliment kwa wahusika "stupid" 😀 just like a compliment and not an insult!
 
Tatizo wabunge na wana CCM hawawezi kumwambia ukweli maana mfano waliuona kwa spika mstaafu Ndugai ila nikwambie watu wanajua madudu mengi!
Ndo maana akina Aweso wanaenda kuzurura Marekani maana nchi imefunguliwa!
Mama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuja moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.
 
Tumeuanza mwaka wa 3 huu bado mna story zile zile...
haya mmesha recover how much so far au mlimzika nazo?
km zile mnasema yy ndo alipiga hizi za sasa nani kapiga?
Ila CCM wanamasihara sana! Tumwombe Mungu tu awatie nguvu wafanye maamuzi sahihi kwa mstakabari wa taifa kama Ndugai alivyoshauri kabla ya kibarua kuota nyasi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom