Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Kilichomponza ni unafiki wa kujifanya mwema ill watu wamuone yeye wa maana kuliko Jpm! Mwache apambane na hali yake na hapo wanamdanganya agombee Urais 2025! Ili iweje sijui maana nachofanya hakijulikani ngoja liende!
Chuki tu zimekujaa....
 
Kiukwel kwasasa nimeshindwa kabisa kumtetea huyu dada huku mtaani,yaan nikijifanya kumtetea hadi nazomewa na watoto
 
Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Tichya unamwongelea rais hapa sio mwalimu wa EK!! Ndomana mnalipwa aftatu na masuruali yenu ya marinda mnafanya ualimu uwe kama uhausi boi hasa nyie walimu wa primary.
Samia miamia kama unaumia vumilia ukishindwa lia au burundi hamia daaadek
 
Kiukwel kwasasa nimeshindwa kabisa kumtetea huyu dada huku mtaani,yaan nikijifanya kumtetea hadi nazomewa na watoto
Usimtetee mtu Mkuu.
Tetea nchi yako.
Tetea wale wanaoitendea kwa wema.
Acha kutetea wanaojali matumbo yao.
 
Usimtetee mtu Mkuu.
Tetea nchi yako.
Tetea wale wanaoitendea kwa wema.
Acha kutetea wanajali matumbo yao.
Sawa mkuu,huyu dada mwoga sana yaan yeye anachofikiria ni kutoboa 2025 mengine hata hayawazii,anatamaa sana ya uongozi
 
Sawa mkuu,huyu dada mwoga sana yaan yeye anachofikiria ni kutoboa 2025 mengine hata hayawazii,anatamaa sana ya uongozi
Hiyo hofu yake ingemsukuma kuhakikisha anasimamia miradi iliyoachwa na mtangulizi wake, na kupambana na ubadhilifu mbona tungempatia tu atawale hata milele na milele!
Lakini kwa spidi hii tunayoenda nayo, basi ajipange sana.
Maana kwa sasa hivi ni ngumu kuona nyota kwa sababu jua bado lipo. Ngoja usiku uingie, nyota zote zitaonekana!
 
Tichya unamwongelea rais hapa sio mwalimu wa EK!! Ndomana mnalipwa aftatu na masuruali yenu ya marinda mnafanya ualimu uwe kama uhausi boi hasa nyie walimu wa primary.
Samia miamia kama unaumia vumilia ukishindwa lia au burundi hamia daaadek

Kwani unaumia ukiwa wapi vyeti feki?
 
Mama tatizo lake kubwa aliamini Dkt Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, yeye alijiona atamzidi Dkt Magufuli, ndiyo maana ziara yake kwanza aliporejea eti aliandaliwa press akiwa na bashasha akatamka nchi inafunguliwa nadhani ili kuwa moja ya kauli mbaya kabisa given yeye na Dkt Magufuli walikuwa kitu kimoja. Na kibaya kauli yke ya kusema eti awamu ya Dkt Magufuli wafanya kazi walikuwa na nidhamu ya uoga ndiyo kabisa kila mtu sasa kwa serikali wengi ni wezi. Wanachokifanya kama Rais Dkt Samia hajui cha kwanza kabisa ni kuharibu mifumo iliyopo, nimpe mfano, January alipoingia TANESCO cha kwanza alihakikisha anaharibu mifumo na kulaumu kila kitu na kweli kafanikiwa sana na sasa anaiba kiulani. Ukija hata kwenye baadhi ya halmashauri ma DT au MT baada ya Dkt Magufuli kufariki wakaharibu mifumo ya ukusanyaji wa mapato kiasi kwamba watu wanasema eti rais Dkt Samia amelekeza hela zikusanywe kwenda kwake zote za kampeni 2025. Yaani kwa ufupi angejua wanayo mfanyia hakika angelia sana na kumuomba radhi marahemu Dkt Magufuli maana alijitahidi kubana wizi.

Naona mnalazimisha Magufuli ionekane alikuwa kiongozi special, hana lolote na mama alisema ukweli kuwa kulikuwa na matatizo kwa mtangulizi wake. Hao wanaokusanya fedha kwa kisingizio kuwa mama anataka za kampeni 2025 wataje hapa tuwajue.
 
Tena usipokuwa makini, unaweza jikuta badala ya kumtetea ndo unazidi kumharibia kama alivyofanya Mr. Uzalendo-tai.
Unaakili sana mkuu mwiguilu alijua anamtetea mama kumbe ndo kamtumbukiza kwenye hayo makandokando
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom