Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI

Niliposoma heading tu nikacheka sana 😅😅😅. Duh hii kali ya mwaka !!
 
Ndiyo wewe nini? Avatar imetulia
Mimi ni mtanzania ninayempenda raisi wetu kwa moyo wangu wote. Hakika tawi haliwezi kushindana na shina. Ukombozi wa taifa hili ni wananchi waamue wenyewe au jeshi tu
 
Wewe mpuuzi tu! Unaonesha hasira zako kwa Magufuli badala ya kuusema ukweli wa Samia! Mara kichaa wa Chato! You are very stupid tunajadili report ya CAG wewe unajificha kwenye kichaka cha Magufuli huku bibi yenu nchi imemshinda mnaanza kumshauri ujinga!
Hiyo mifumo unayozungumzia itajiendesha yenyewe?
Mfumo hata kama ni mzuri vipi bila watendaji ni zero!
Wewe kubali tu mama Samia hatoshi haswa usikimbilie ya Magufuli!
Hata Wenje jana kasema Magufuli alivyokuwa mtendaji na mfatiliaji wa mambo!
Wewe mpuuzi na majizi wenzako mnaanza kumshauri ujinga Rais!
Jana wenje nini? Magufuli alikuwa muongo, mnafiki na jizi kubwa sana tofauti na wengine ni kwamba akitaka kuiba yeye na watoto wake pendwa tu lkn mwingine akithubutu atakiona cha mtema Kuni. 1.5 t zilikwenda wap?
 
Tulia tu Tunaenda na Dr. SSH mpaka 2030......
Linganisheni na report za miaka mingne za CAG msijifanye hamjazisoma
 
Na hii thread isifutweee! Waacheni watanzania watoe nyongo zao. Na huo ndio mtazamo wa walio wengi.
Njooni huku niliko mfanye utafiti.
Watu wamechokaaaa!

Gharama za bidhaa ziko juu, tozo, makato ya kodi za majengo zaidi ya mara moja kwa madai ya kujisahau.
Mfumo unakosea? Au ni watu wanakula fedha za umma kimasikhara? Watu wanakonda kwa kuwaza maisha magumu wao wanasafiri kwa VIP!
Mtazamo wa walio wengi kwa tafiti gani iliyofanyika au uliyofanya?
Mmekutana wapuuzi na njaa zenu mnazileta kwa Samia, muuaji, mwizi, aliyevunja misingi yote ya demokrasia na utawala wa amani mnamtetea!
Tuondoleeni upumbavu wenu tulio nje ya makundiyenu ya sukumagang na Msogagang walau tunapumua, hatutekwi, hatushambuliwi, hatukamatwi na kuwekwa gerezani hususan wakati wa uchaguzi.
Hatuuliwi, tunafanya siasa kwa amani.
Ukame, vita, na upuuzi uliosababishwa na muuaji jpm hadi tukatengwa na jumuia ya kimataifa hamzungumzii?
Mfumo upi bora wa mapato ya serikali aliouacha JPM? Kupora pesa za wananchi na task force yake na plea bargaining?
Msituchoshe
 
Tatizo wabunge na wana CCM hawawezi kumwambia ukweli maana mfano waliuona kwa spika mstaafu Ndugai ila nikwambie watu wanajua madudu mengi!
Ndo maana akina Aweso wanaenda kuzurura Marekani maana nchi imefunguliwa!
Ndugai kwa sababu alisema yule muuaji wenu atake asitake ataongezewa muda wa kutawala?

Kama mngekuwa na chembe ya akili mngepigania kubadilishwa kwa mfumo kupitia katiba bora itakayorudisha mamlaka kwa wananchi waweze kuiwajibisha serikali inaposhindwa kutekeleza majukumu yake. Lakini wanafiki wa sukumagang hamtaki mnategemea huruma ya aliye madarakani.

Bunge lenye meno la marehemu Sitta hata Makinda liliwajibisha na mawaziri wengi waliwajibishwa, lakini dikteta Magufuli akapora hadi mchakato wa uchaguzi akawaweka wapumbavu wa CCM bungeni watupu mkafurahia mkamwita shujaa na bunge butu.

Tatizo ni mfumo ulioasisiwa na CCM, sukumagang MSITUCHOSHE
 
Tumeuanza mwaka wa 3 huu bado mna story zile zile...
haya mmesha recover how much so far au mlimzika nazo?
km zile mnasema yy ndo alipiga hizi za sasa nani kapiga?
Kwa hiyo tusiseme kuwa jizi lilipiga mapesa na majuha huku wanamtetea na kumwita shujaa?

Kwa akili yako ndogo jinsi inakufa kwa miaka mitatu?

Kurecover au kutorecover siyo suala la muhimu, muhimu aliiba au hakuiba? Na kama ziliibwa shujaa mpinga ufisadi alichukua hatua gani? Au kumfukuza kazi CAG professor Assad?
Nosense
 
Yule hajafukuzwa kazi ila muda wake wa kustaafu ulishafika
Kisha akatangaza kuwa kama unaweza kumteua kwa nini ushindwe kumfukuza?

Pili hatua gani akachukua kuhakikisha zinarudi na wahusika kuchukuliwa hatua kama yeye mwenyewe basi angewajibika kwa kujiuzulu.

JPM ni jizi na muuaji, period!!
 
Shetani toka hapa ushindwe ushindwe na kutepweta
Maandiko matakatifu yanasema kila mamlaka inatoka Kwa Mungu hivyo twapaswa kutii na kuheshimu. Kwa misingi hiyo ni dhahiri kuwa wewe ndiye shetani kwakuwa unapingana na mamlaka iliyowekwa na Mungu.
 
Mimi ni mtanzania ninayempenda raisi wetu kwa moyo wangu wote. Hakika tawi haliwezi kushindana na shina. Ukombozi wa taifa hili ni wananchi waamue wenyewe au jeshi tu
Kwaiyo atolewe kwa njia hiyo? Ila nafasi anayo akiwa tayari kufanya maamuzi
 
Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Subutu ,raha zote za kile kiti , nimuachie nani , hili nalo mliangalie vizuri, na tuheshimiane, kamba haijakatika
 
Mambo Ya Muhari Yametufisha Pabaya
Yule Baba Mzilankende Angefyatua Watu Mchana Kweupe Kuku Wanaona
 
Unateseka kweli kweli, angalia usipate heart attack
Kisha akatangaza kuwa kama unaweza kumteua kwa nini ushindwe kumfukuza?

Pili hatua gani akachukua kuhakikisha zinarudi na wahusika kuchukuliwa hatua kama yeye mwenyewe basi angewajibika kwa kujiuzulu.

JPM ni jizi na muuaji, period!!
 
Tusichoshane!

Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.

Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito

“Mama Tupishe”

Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!

Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Kiini cha tatizo ndio kishughulikiwe (root cause)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom