Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Yuko kikatiba uchaguzi rasmi ni 2025 watanzania wataamua if Wana Akili ama nchi "Ina watu wajinga sana"
Ni lini kumefanyika uchaguzi tanzania?
Kama unategemea sanduku la Kura likupe matokeo basi imekula kwako.

Tanzania uchaguzi ni MAZINGAOMBWE MATUPU.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Wewe mpuuzi tu! Unaonesha hasira zako kwa Magufuli badala ya kuusema ukweli wa Samia! Mara kichaa wa Chato! You are very stupid tunajadili report ya CAG wewe unajificha kwenye kichaka cha Magufuli huku bibi yenu nchi imemshinda mnaanza kumshauri ujinga!
Hiyo mifumo unayozungumzia itajiendesha yenyewe?
Mfumo hata kama ni mzuri vipi bila watendaji ni zero!
Wewe kubali tu mama Samia hatoshi haswa usikimbilie ya Magufuli!
Hata Wenje jana kasema Magufuli alivyokuwa mtendaji na mfatiliaji wa mambo!
Wewe mpuuzi na majizi wenzako mnaanza kumshauri ujinga Rais!
 
Uthibitisho ni upi sio mnaongea vitu ambavyo havina substance
Uthibitisho kumfukuza kazi aliyefichua wizi wake, hakuna awamu iliyopiga trillion 1.5 ila hili jizi.
Kwani uthibitisho huu si CAG? Na ule uthibitisho alikuwa ni CAG
 
Umetoka kuwachamba walimu umeona haitoshi na sasa umehamia Kwa Samia. Anyway keep it up maana imeandikwa kila mtu atavuna anachokipanda
 
Angekuwa hafurahii , asingeruhusu matumizi holela ya fedha za umma. Mara safari za nje za viongozi ni yeye anaidhinisha misafara, hafla nk. Unadhani fedha zingetoka wapi? Ndio maana JPM alizuia hayo!

Subiri kama utaona kuna mtu atachukuliwa hatua!
JPM jizi lililoanzisha kununua hiyo midege inayoifilisi serikali? Kama siyo JPM kuanzisha hiyo michuma ukatenda tusingefikia hali hii.

Ulitaka tuendelee kutengwa na jumuia ya kimataifa kama alivyosababisha shetani JPM?
 
JPM jizi lililoanzisha kununua hiyo midege inayoifilisi serikali? Kama siyo JPM kuanzisha hiyo michuma ukatenda tusingefikia hali hii.

Ulitaka tuendelee kutengwa na jumuia ya kimataifa kama alivyosababisha shetani JPM?
Wewe chawa tulia dawa ikuingie! Vipi Samia serkali yake hamna hela iloibiwa? Wewe umeshadadia JPM inaonesha huna hoja!
Nyinyi machawa wa Samia hamnaga akili badala ya kushauri ukweli uliopo mnaanza kuongea ujinga bila aibu!
Kama trilion 1.5 aliiba JPM kwa nini huu ufisadi wa sasa tusiseme aloiba ni Samia?
 
Ufisadi uliofanywa wa t1.5 nani aliwajibishwa zaidi ya CAG kulazimishwa kujiuzulu ili asiendelee kufumua madudu yake.
Ndio awamu iliyopora pesa nyingi za raia wake kupitia task force na upuuzi wa plea bargaining.
Awamu iliyokuwa na wasiojulikana na kutekwa kupotezwa kwa raia wanaopishana mtazamo na bwana yule ilikuwa ni kawaida.
Wizi wa kura ambao ni kawaida kwa CCM akaona haitoshi akapora mchakato mzima wa uchaguzi.
Leo mnatafuta ya kumlalamikia matope
Uzuri mimi siyo CCM. Ila nawajua wapuuzi wa CCM sukumagang na Msoga gang. Hivyo vita vyenu vya kipumbavu ni bora tukio nje ya upumbavu huu tuside na Msoga gang kwa maana hatuuliwi, hatushambuliwi, hatutekwi, hatuporwi pesa na task force na mapesa kupelekwa idhina.
Tuonyeshe mapesa yaliyopigwa na yeye akiwa mhusika kama jizi lile lililomfukuza kazi CAG kwa kuainisha wizi wake wa t1.5
Na wizi wa plea bargaining aliyoianzisha, JPM lilikuwa jizi kumtetea lazima uwe juha
 
Kwa hiyo watu wasiseme ufisadi wa Serkali ya Samia kisa serkali ya JPM kulikuwa na ufisadi!?
Wewe ni mnafiki mkubwa bila shaka ni mfuasi wa ufisadi wa serkali hii!
Endelea kusuport wizi na kinachowaponza nyinyi chawa hamtaki kabisa Samia akosolewe na kuambiwa ukweli ila mnataka muongelee ya Magufuli tu mda wote wanafiki wakubwa!
 
Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Kwahiyo asipoyafurahia na kushindwa kuchukua hatua,Ulitaka mtoa post aseme nini?
Lakini bado niko palepale ,bora huyu kuliko bwana yule.
 
Uthibitisho kumfukuza kazi aliyefichua wizi wake, hakuna awamu iliyopiga trillion 1.5 ila hili jizi.
Kwani uthibitisho huu si CAG? Na ule uthibitisho alikuwa ni CAG
Yule hajafukuzwa kazi ila muda wake wa kustaafu ulishafika
 
Mama sio mtu wa kuaminika tena, hata wafadhili wa Roho Tour alisema angewataja ila hadi leo kimyaaa!
Labda ndio waliotupiga pesa sasa kwenye riport ya CAG who knows ili kurudisha pesa zao na faida juu!.
 
Yaan nchii ipooo hovyo hovyooo...mi tozo kila eneooo...halafuu Badoo Mambo magumuu tuuu...kumbee Kuna watuuu wanakulaa tuu pesaa za walipaa kodiii mustarehee...ifikee mahala watanzania tuachee mamboo ya uchamaaa na tuangaliee maslai mapana ya woteee...kwa sababu mwishoo wa siku ni sotee ndioo tunaisomaa nambaaa...
 
Sio hulka ya Ris Samia kufanya maamuzi Kwa mihemko Ili kufurahisha genge.

Nadhani Toka ameingia Ofisini amekuwa resilient wa mihemko na external forces,hii ni Moja ya sifa kubwa kabisa ya Kiongozi.

Mwisho bila shaka watakaobainika na Ufisadi watapisha Kwa sababu ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama Iko subject to majibu na baada ya kujiridhisha kwamba kilichosenwa na CAG ni sahihi basi wahusika watapisha.

Ingekuwa Kila ripoti ya CAG watu wanapisha basi kusingekuwa na Viongozi Nchi hii,CAG kajenga hoja baada ya majibu anaweza ondoa baadhi ya hoja ikiwa majibu ya wahusika yatamridhisha.

Au wewe mtoa mada unaweza tutajia majina ya waliotajwa na CAG na hawajaqajibika Kwa Kauli ya Rais?
 
Maswali mazuri kbsaaa...colapse system...
 
Ndioo shidaa yetuu watanzaniaaa tumejaaa ujingaaa hata kwenyee hoja za msingi...watuu wanawazaa teuzi tuu waendeleee kupigaa pesaa...No wonder kila mtu anajidai mwanaccm ili tuu apatee teuzi...Nonsense kbsaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…