Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
😒😒😒DaaahAngekuwa hafurahii my dia, asingeruhusu matumizi holela ya fedha za umma. Mara safari za nje za viongozi ni yeye anaidhinisha misafara, hafla nk. Unadhani fedha zingetoka wapi? Ndio maana JPM alizuia hayo!
Subiri kama utaona kuna mtu atachukuliwa hatua!