Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
Kwenye mahafali huwa familia haishiriki? Ukizingatia ndege ni mfanano wa gari inayotumiwa na walalahoi wakiwa na shughuli yao, na hawaachi kuwajumuisha wanafamilia, kwa nafasi yake anastahili.
Chenye kunitia shaka ni hiyo shahada, kama kweli anaistahili!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
Mh! Alikwenda kuneshwa tu! Nchi hii kila moja aibe mwenye upenyo...huu ni kutapanya fedha za serikali
 
Hivi mtu kama Steve Nyerere a.k.a. Mla hela za misiba / rambirambi ana faida gani na nchi? Anaenda kunegotiate nini na Wahindi let alone kuchekesha nani ikiwa hata lugha ya kigeni hajuwi

Ee Mungu babaTurudishie Magufuli wetu please, hii nchi inarudi pale pale uozoni
 
Hata mbwa wa Rais ni Rais wa mbwa wengine. Yani nile shavi afu niiache damu yangu labda sio mimi. Hadi masela watakula shavu.
 
Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
Unajuaje mtoto amekwenda kwa nauli yake.
 
Ana kweli uongo unasambaa kuliki ukweli yan iv mkuu umefanya utafiti kweli kabla ya kuchapisha hilo andiko lako au
 
Nyerere tulimtambua yeye kama yeye
Mwinyi alivokuja ikawa ni yeye na familia yake

Mkapa alivokuja tulimtambua yeye kama yeye
Kikwete alipokuja ikawa yeye na familia yake

Magufuri alipokuja tulimtambua yeye kama yeye
Mama abdul aliposhika madaraka ni yeye na familia

Na hata kidume wa rais wa pili uko zanzibar mke wake sikuiz anafanya ziara pia.

Sipati majibu kwanini inakua ivi.
 
Wakibu wa kusafiri mpaka na watoto ziarani, na kusafiri ni mawaziri zaidi ya 9, na wachekeshaji, machawa, waigizaji na waandishi wa habari karibu TV zote kubwa za Tanzania
Usanii usanii tu

Ova
 
Back
Top Bottom