Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

Na wewe siku ukienda kwenu Karagwe beba wanao... Mama Samia nae ni mama wa familia kwahiyo kuna mambo yake binafsi pia. Au ulitaka asafiri na watoto wako?
 
Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.


=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
acha ubaguzi wewe....
ikipigwa SEA-YA PAPII KOCHA Baba na mwana tunaimba na kucheza unainuka fasta kama pedeshzee flani hivi la ngambo mabega juu.... unacheza

mama na mwana kusafiri pamoja unaona nkondo.... acha izo bana au kwa vile hakuna wimbo....
 
Ulitaka asafiri na Watoto wako?
Punguza mapovu mzee ... jifunze kujibu hoja kwa hoja ..... juzi nlikuwa na angalia tarifa ya habari wanachi hko sumbawanga ndani ndani tangu uhuru hawajui pata maji safi na salama .... Leo tuna ambiwa viongozi wna safiri mpaka na familia zao kwwnye ziara za kikazi ....matumizi mabaya ya fedha za watu masikini wavuja jasho mpaka na wasanii uchwara wamo kwwny msafara .... huoni kama huyu mama hatufai hata kwa kulumangia tu .....
 
Back
Top Bottom