Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

MTN.jpeg
 
Mbona Obama alikuwa anasafiri na mabinti zake 🤣🤣🤣
Akina Sasha na Mariah walikuwa ni watoto wadogo wakati huo (Teenagers). Hivyo inakubalika popote pale. Lakini huyu Abdul huku tunamuita Duli Kaacha vimada Mchambawima, Fuoni, nk hakupaswa kuwa katika msafara huo. Ni matumizi mabaya ya pesa ya umma.
 
Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
TUMEZIDI KUMSIMANGA SANA HUYU RAIS.
SIO HAKI
SIO SAWA.
OBAMA AKIJA NA WATOTO WAKE SIO TATIZO.
BUSH AKISAFIRI NA FAMILIA NZIMA SIO SHIDA.
Kwa taarifa yako kuhusu wasanii tulipigwa.

Tuache kulalamika kila kitu, alipaswa asafiri hata na mume ambaye angetumia pesa pia, so kusafiri na mwanae sio hoja.
 
Waandishi kama wote wako ziarani wanakula shushi tu, hao wachekeshaji ni kina nani hao? Sasa hao waandishi ukiacha kuripoti kwenye media zao kuna cha kujifunza huko india?
Tumezidi kulia.
Umasikini huleta malalamiko sana.
Masikini kufika mbinguni ni bahati
 
Kwenye mahafali huwa familia haishiriki? Ukizingatia ndege ni mfanano wa gari inayotumiwa na walalahoi wakiwa na shughuli yao, na hawaachi kuwajumuisha wanafamilia, kwa nafasi yake anastahili.
Chenye kunitia shaka ni hiyo shahada, kama kweli anaistahili!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Hayo Ma 'Honoris Causa' hata apewe na kila chuo hapo India haina hasara kwa Tanzania, kinachotuuma Watanzania hasa kipindi hiki kigumu kwetu, hatuna umeme kilo ya unga 2000 nauri juu, maji hakuna. Mama na kundi ambalo wengi wao kwenye huo msafara hawana faida kwa hii nchi hasa kipindi hiki. Huo msafara inaweza 5b imeenda.
 
Mm Nina swali si Kwa ubaya lakini
Mama Abdul, mbona hatembei na baba Abdul ?
AU baba Abdul alishakufaga?
 
Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
"Watanzania mtanikumbuka,na Tena mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya. Kwasasabu nime sacrifice maisha yangu kwa Watanzania masikini"
 
Akina Sasha na Mariah walikuwa ni watoto wadogo wakati huo (Teenagers). Hivyo inakubalika popote pale. Lakini huyu Abdul huku tunamuita Duli Kaacha vimada Mchambawima, Fuoni, nk hakupaswa kuwa katika msafara huo. Ni matumizi mabaya ya pesa ya umma.
Mtoto kwa mama hakui
 
Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.

Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.

Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.

Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
Unajua watanzania hamuelewi. Magufuli ndo alianzisha haya. Aliweka mpwa waziri, akajaza kabila lake mpaka kwenye Usalama wa taifa. Unategemea anayekuja afanyaje. Uongozi ni endelevu ukiwa rais utakayoyafanya ndo utakuwa mwongozo wa Rais ajaye. Hakuna nchi yenye fujo ambayo ilipata uhuru kwa njia ya amani. Magufuli alikuwa anaiharibu nchi sema alikuwa hajui alifanyalo. Maana hata leo ukisikia mtu amepigwa risasi system haitashtuka. Ukisikia mtu kamsifia Rais kupewa cheo system haitashtuka. Ukisikia mtu anateuliwa bila vetting system haitashtuka. Uongozi Imara uliisha enzi za Mzee Mkapa. Mzee wa msoga aliharibu lakini sio sana. Akaja JPM yeye alifanya ya Kikwete mara 100.Tulishindwa kuona kwa sababu huyu mbinu alizokuwa anatumia kuiba ni kupitia ujenzi maana alikuwa waziri wa ujenzi. Ukiacha na Kikwete
ambaye alikuwa anapiga hela kwa kuomba misaada nje maana alikuwa waziri wa mambo ya nje. Na huyu aliyekuwepo anafanya kama aliyetoka. Huoni hata kwenye teuzi. Watanzania tuamkeni tuwe na akili ya kuchambua mambo. Sio kukubali tunayolishwa
 
Back
Top Bottom