Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,949
- 6,874
Na zaidi ya hapo, je atawachukulia hatua gani hao waliomsingizia na kutumia jina lake vibaya?Kama kabambikiwa ni nani mhusika? Ni mtu mmoja au kikundi cha watu? Kama hakuzia hilo Kongamano la Katiba mpya je atasema hadharani kwamba yeye hahusiki na hilo zuio?
Amandla...