Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

Maombi ya watu tena watu zaidi ya elfu kumi wa ufufuo na uzima nchi mzima, hata kama Mungu ni kiziwi lazima atasikia hata ombi moja la mja wake pale
Kwa hiyo Maombi yenu watu wa Gwaji boy yamejibiwa?
 
Sasa mtu anayeshauriwa na Wassira unategemea nini?
Mambo ya uchumi kuizidi ulaya imewachabganya
 
Naunga mkono hoja..Mh Rais amuweke Mama Tanzania mbele kuliko hao wafahidhina wachache ndani ya CCM..

Tume huru ya Uchaguzi na uchaguzi huru na wa haki ni heshima kwake na nchi kwa ujumla, na wala sio ushindi kwa Upinzani
 
Mwache aendelee hivyo hivyo, tunataka kufikia Oktoba mwaka huu ahame Tanganyika arudi kijijini kwake Kizimkazi
Ameapa iwe jua iwe mvua lazima Oktoba awe rais wa kuchaguliwa na wananchi kwa gharama yoyote ile
 
Mwacheni aongeze maadui wapya huku akitegemea mapolice na tume yake watampa urais na si raia hawa hawa anaowafungia makanisa yao.
 
Wanazuoni wanasema washauri wazuri hutokana na Rais mzuri, na si Rais mzuri kutokana na washauri wazuri. Maana inahitajika kwanza yeye mwenyewe awe na uwezo ndipo ataweza kuchagua washauri wenye uwezo.
 
Asipostuka mapema na kubadilisha upepo huu wa kisiasa wananchi wengi mpaka wa mashambani na vijijini huko ccm wanakotegemea nao wataona kuna shida mahali na kuamka hapo ndipo itakapokuwa mwisho wa ccm na utawala wake wa kiimla
 
Wanazuoni wanasema washauri wazuri hutokana na Rais mzuri, na si Rais mzuri kutokana na washauri wazuri. Maana inahitajika kwanza yeye mwenyewe awe na uwezo ndipo ataweza kuchagua washauri wenye uwezo.
Wote wanategemeana rais anaweza kuwa mbaya lakini anapokosea kitu fulani washauri wakaona udhaifu huo wakamshauri alekebishe na namna gani ya kurekebisha akakubali kushaurika anaweza kuwa rais au kiongozi bora
 
Atawapata wapi washauri wazuri wakati hana uwezo? Sababu asiye na uwezo/mbaya hawezi chagua washauri wazuri.
 
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha

Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu

Kufungiwa kwa Kanisa la ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kutumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake kukemea utekaji ni jambo lingine la kushangaza

Wataalam wa mambo ya Kidiplomasia na siasa wanajiuliza hivi rais Samia hana washauri ama anashauriwa na kukaidi ushauri wa wasaidizi wake?

Pia wabobezi wa siasa za nchi hii wanajiuliza chama cha CCM kimeshindwa kumshauri mwenyekiti wake ambaye pia ni rais wa nchi kujitenga na sintofahamu hii ya kesi ya Lisu na sakata la kufungiwa kanisa la Gwajima ili kukinusuru chama na Serikali yake.

Ushauri wangu kwa rais Samia aangalie upya kesi ya Lisu ikimpendeza Serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu iiambie Mahakama kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo ifutwe

Pia rais angemuagiza waziri wake wa mambo ya ndani kulifungilia kanisa la Gwajima na kuwaacha waumini wawe na uhuru wao wa kuabudu

Aidha rais anatakiwa aende mbali zaidi na kuahidi kufanya marekebisho ya uchaguzi kwa kuweka tume huru kweli kweli ya uchaguzi na sheria na kanuni rafiki za uchaguzi kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya uchaguzi

Kwa upande wa katiba mpya anatakiwa kuahidi kuahidi kwamba itapatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupita

Kama rais Samia atafanya uamuzi huu mgumu ataziishi zile 4R zake ambazo awali alivyoingia madaraka na kuzitangaza na kuzitekeleza kwa kipindi kile zilimpatia umaarufu mkubwa na kukubalika ndani na nje ya nchi

Lakini cha kushsngaza baadaye hapa upepo wa kisiasa ukabadilika ndipo watu wanaoitakia mema nchi hii wanajiuliza hivi rais ana washauri kweli au haambiliki?

Mwalimu Julie's Nyerere kipindi cha utawala wake aliwahi kuwa mkaidi hasikilizi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi wake juu ya hali ngumu ya maisha na kumtaka abadilishe mfumo wake wa siasa hasa sheria ngumu za Azimio la Arusha aligoma katakana kugeuka nyuma wakamtunga jina la haambiriki

Baada ya kuona hali ya uchumi imezidi kuwa ngumu mwaka 85 akaang'atuka madarakani na kumuachia nchi Ally Hassan Mwinyi ambaye alifita Azimio la Arusha na kutangaza Azimio la Zanzibar

Mwinyi akfungua milango ya uchumi huru akaingiza siasa za kibepari huku chama chake kinaimba siasa za ujamaa na kujitegemea

Sasa rais Samia akikaidi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi naye ataitwa "haambiliki" ni vyema akachukua hatua sasa hivi kurudi 4R zake ili kurejesha heshima yake ya awali

Comasava
Wewe ndo hushauriki... umegoma kuacha kupost utumbo
 
Ndiyo maana sasa anajulikana kwa jina la Mama Haambiliki.
 
Jehova Bado hajaanza kujibu, hizi ni shamla shamla za kutaka kujibu maombi ya waja wake
Kama hali inakwenda hali jojo hivi Jehova wenu hajajibu sasa akijibu itakuaje? Mnataka kumrejesha bimkubwa Kizimkazi mapema hivyo?
 
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha

Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu

Kufungiwa kwa Kanisa la ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kutumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake kukemea utekaji ni jambo lingine la kushangaza

Wataalam wa mambo ya Kidiplomasia na siasa wanajiuliza hivi rais Samia hana washauri ama anashauriwa na kukaidi ushauri wa wasaidizi wake?

Pia wabobezi wa siasa za nchi hii wanajiuliza chama cha CCM kimeshindwa kumshauri mwenyekiti wake ambaye pia ni rais wa nchi kujitenga na sintofahamu hii ya kesi ya Lisu na sakata la kufungiwa kanisa la Gwajima ili kukinusuru chama na Serikali yake.

Ushauri wangu kwa rais Samia aangalie upya kesi ya Lisu ikimpendeza Serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu iiambie Mahakama kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo ifutwe

Pia rais angemuagiza waziri wake wa mambo ya ndani kulifungilia kanisa la Gwajima na kuwaacha waumini wawe na uhuru wao wa kuabudu

Aidha rais anatakiwa aende mbali zaidi na kuahidi kufanya marekebisho ya uchaguzi kwa kuweka tume huru kweli kweli ya uchaguzi na sheria na kanuni rafiki za uchaguzi kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya uchaguzi

Kwa upande wa katiba mpya anatakiwa kuahidi kuahidi kwamba itapatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupita

Kama rais Samia atafanya uamuzi huu mgumu ataziishi zile 4R zake ambazo awali alivyoingia madaraka na kuzitangaza na kuzitekeleza kwa kipindi kile zilimpatia umaarufu mkubwa na kukubalika ndani na nje ya nchi

Lakini cha kushsngaza baadaye hapa upepo wa kisiasa ukabadilika ndipo watu wanaoitakia mema nchi hii wanajiuliza hivi rais ana washauri kweli au haambiliki?

Mwalimu Julie's Nyerere kipindi cha utawala wake aliwahi kuwa mkaidi hasikilizi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi wake juu ya hali ngumu ya maisha na kumtaka abadilishe mfumo wake wa siasa hasa sheria ngumu za Azimio la Arusha aligoma katakana kugeuka nyuma wakamtunga jina la haambiriki

Baada ya kuona hali ya uchumi imezidi kuwa ngumu mwaka 85 akaang'atuka madarakani na kumuachia nchi Ally Hassan Mwinyi ambaye alifita Azimio la Arusha na kutangaza Azimio la Zanzibar

Mwinyi akfungua milango ya uchumi huru akaingiza siasa za kibepari huku chama chake kinaimba siasa za ujamaa na kujitegemea

Sasa rais Samia akikaidi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi naye ataitwa "haambiliki" ni vyema akachukua hatua sasa hivi kurudi 4R zake ili kurejesha heshima yake ya awali

Comasava

View: https://youtu.be/bnPnNldxIis?si=W3Gnh8jCMjfuvE6V
 
Jana na leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom