Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

Leo nimeamin Waalim aisee ni vilaza hasa.

Wamejazana uwanjan hata pa kukanyaga hakuna huku wengine wakizimia kwa kukosa Kifungua kinywa (Chai) 😅
 
Mpaka sasa bado najiuliza hivi mama kamkwepa mwanae au kawakwepa hawa majirani zake.

Nimekumbuka Banza kwenye nyimbo inaimba:-

''Unapopatwa na shida kubwa usiku wa manane,
Jirani yako ndio wa kwanza kukusaida,
Hata katika vitabu vya Munguu ametuasaa,
Mpende jirani yako ee! kama unavyojipendaa.''

------xxx-----
''Jiranii, jirani yangu ee!,
Nimekukosea nini!!?,
Jiranii, jirani yangu ee!,
Nimekukosea nini?
Kila unachokitaka jirani ee,
Mimi ninakupatiaa,
Ila niniachokuoma jiranii ee!,
Mwenzangu wanikataliaa''

Dj, Dj...
 
TOKA MAKTABA :
29 April 2024
Nairobi, Kenya

Mheshimiwa katika mkutano wa 21 wa IDA wa wakuu wa nchi za Africa akitoa hotuba nzito

View: https://m.youtube.com/watch?v=iABV85RbDJE

Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi wa World Bank kama rais wa benki ya Dunia Mr. Banga.

29 APRIL 2024
MUSEVENI ATOA HOTUBA YA KARNE NA KUWATAKA MABEBERU PIA MAKUWADI WABADILIKE

View: https://m.youtube.com/watch?v=585IMBb14Kg
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda asema Afrika haihitaji misaada bali kuweza kupunguza gharama za uzalishaji katika viwanda, kilimo, uvuvi na ufugaji ili iweze kuuza bidhaa kimataifa badala ya misaada na mikopo ya World Bank ambayo haiwezi kuwezesha kuuza kimataifa tofauti na sasa kuitana ktk mikutano inayodaiwa kuwezesha maafisa wa serikali za kiAfrika ... hicho ni kichekesho Afrika inahitaji kuwa na reli na nishati kama umeme na siyo misaada na mikopo isiyotaka kuelekezwa ktk reli, nishati ya umeme, kilimo cha Umwagiliaji na uzalishaji mkubwa lakini Benki ya Dunia WB, Taasisi zake kama IDA hawataki kutoa mikopo nafuu itakayoelekezwa katika maendeleo endelevu ya kweli ktk reli, nishati ya umeme, kilimo cha kisasa na uzalishaji mkubwa wa viwanda badala ya kiinimacho cha sasa rais Yoweri Museveni akiwapa makavu wanaoitwa wadau wa maendeleo mabenki ya kimataifa na nchi za mabeberu..

Rais Yoweri Museveni akiongea kwa uchungu zao la kahawa nchi za Afrika tunaibiwa sana, wanaofaidika wapo Germany na nchi zingine za Ulaya, Asia na Mashariki ya kati huku wakulima wetu wakipakia masikini.

Rais Museveni anasema ni hivyo hivyo kwa mazao ya pamba, chai, kakao ajira zote za kusindika kuongeza thamani zinafanyika ktk nchi zinazodai ni wadau wa maendeleo wa Afrika lakini mazao hayo ya pamba n.k hayazalishi ajira za viwandani kwa vijana wetu wa Afrika ...

Rais Museveni anasema katika hotuba yake bila kupepesa macho kuwa jinsi wadau wa maendeleo wanavyoshirikiana na nchi zetu za kiafrika, ni uhusiano wa ukoloni mamboleo wa utumwa wa karne hii na haukubaliki.

Kuhusu madini Rais Yoweri Museveni anasema wadau hawa wa maendeleo hawataki kuchimba madini ya chuma, dhahabu n.k na hawataki kufua na kuyeyesha ktk viwanda vyetu wanachukua malighafi makinikia kupeleka kwao kuongeza thamani, kuongeza ajira za watoto wao China, Ulaya, Asia na Marekani ya Kaskazini

Rais Museveni anahitimisha kuwa uhusiano huu wa nyonya damu lazima ukomeshwe haiwezekani Uganda, Tanzania, Kenya, Burkina Faso, Nigeria zikubaliwa kuendelea na mfumo huu wa kinyonyaji wa wadau wa maendeleo...

For decades, IDA has served as a powerful engine for economic growth across Africa. It empowers progress through grants and highly concessional loans, fueling strategic investments in building a skilled and healthy workforce, and nurturing job-generating industries like agriculture. Recent efforts to streamline access have further enhanced its effectiveness.

Currently, IDA supports 75 nations, 39 of them in Africa. Over 70 percent of its resources are directed toward the continent, playing a vital role in achieving the World Bank Group's goal of bringing electricity to 250 million Africans by 2030.

The call for replenishment comes amid a multitude of interconnected hardships: pandemics, climate change, food insecurity, fragility, and conflict. Yet, Africa is also brimming with potential: vast natural resources, abundant sunshine, and the world's fastest-growing youth population.

Amplifying united support for Africa's bold vision and leveraging the strength of the newly formed coalition can help ensure an undeniably bright future for the continent.

Leaders representing a coalition of global youth, the private sector, and civil society stressed the need for a robust IDA21 replenishment and committed to work in partnership.

Hana cha kusema, kaona aingie mitini. Hela za kuongeza mishahara hana.
Alikuta jpm ameacha mapesa ndo aliyoyatumia haraka haraka kuonyesha mwezake alikuwa mbahili kumbu uchumi hauko hivyo ...kiko wwpi sasa pumzi imekata
 
Back
Top Bottom