Sio kweli marekani wana makampumy mengi sana kuliko nchi nyingi yoyote ubishi nitayataja hapa
Marekani Japan na baadhi ya nchi nyingine zizozo za wanyonge makampuny yao yanatoa hadi Card kama za bank wa members wao fanya utafiti usipotoshe watu
Sijui propaganda mkuu endelea upotoshaji sina muda wa kubisha na mtuTechnology gani hapo unazungumzia ??? Nitajie nchi moja tu ambayo wameikubali hyo Bitcoin kuwa legal tender zaidi ya El Salvador? Kila nchi hawataki hayo mambo ya cypto unadhani ni wajinga mama yenu ndo anakili sana?
Kuhusu hili nahitaji special stardeRais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Hapo itakuwa SafiHapo sawa na tuanze kupata refund kwa kutumia PayPal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeona Hilo Pesa iwe nyingi mtaaaniMama sio mshamba..aruhusu na paypal watu watembeze miamala..
Sema alikua Live kwenye vyombo vya habari. Haikua TBC pekee, wewe kama uliangalia TBC, wengine walitumia vyombo vingine navyo vilikua LIVE.Alikuwa live TBC1 mkuu akihutubia baada ya kuzindua jengo la BoT tawi la Mwanza. Kaongea mengi likiwamo hili na kutaka riba za mabenki zipungue kutoka (12%- 18%) hadi 10% kushuka chini.
Download mwenyewe hotuba yote ya rais akiwa Mwanza.
Tatizo lako umeanza kuangalia ziara za mwendakuzimu ndo zimekua SI unit yako. Yule alikua mtu wa masifa ndiyo maana uliona uliyoyaona.Ila ziara yake imepoa sana.
upo kijiwe gani cha draft kaka?Bitcoin kama QNET tu, hamna kitu cha maana huko.
Hili ni swali au taarifa?Wapo waliopata hiyo inflation
"starde " ni kitu gani ,samahani najitaji kufahamuKuhusu hili nahitaji special starde
Nina zero balance Mkuu. Nikupe email yangu uniongezee salio kidogo?PayPal yako ina sh ngap?
Huyu mama bure kabisa hajui kwa nini bot hawawezi kuruhusu. Jinsi wajanja na wasio maadili walivyo kwenye ngazi za juu kuruhusu tutapigwa tu kikubwa. Kuna watu wanamshauri mama vibaya ili kumlengesha kwenye maeneo wanataka kwa faida yao.Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Tunahitaji vitu vingi kwanza, hata kuwa na uandishi mzuri ni moja ya mambo tunahitaji.Yaani mi niwe na cash halisi/ benki halafu kuna jamaa naye anashinda mitandaoni kwa magumashi mara uit wake then heti inatambulika rasmi!!
Tunahitaji elimu zaidi hili tuwe na common understanding kwanza.
Babaako alikwenda kuzimu kama mbwa aliyegongwa na gari ndio maana hatukumjua.Tatizo lako umeanza kuangalia ziara za mwendakuzimu ndo zimekua SI unit yako. Yule alikua mtu wa masifa ndiyo maana uliona uliyoyaona.
Hawa wachumi wetu wa kwenye nakala ngumu (hardcopy) wanasumbua Sana. Ndiyo wanaoturudisha nyuma. Hawaendi na wakatiIgnorance and lack of exposure ya ulimwengu huu ni shida Sana huku shithole countries
Sawa mkuu. Kiswahili changu kiliigota ndiyo maana.Sema alikua Live kwenye vyombo vya habari. Haikua TBC pekee, wewe kama uliangalia TBC, wengine walitumia vyombo vingine navyo vilikua LIVE.
Kupanda na Kusha nikawaida hata dolla upanda na kushuka kulingana na demandNchi za Magharibi haijapigwa marufuku lakini bado Serikali nyingi ziko kimagutu magutu na hii currency kwanza haiko stable inaweza kupanda sana na kushuka sana pia kwa sasa matapeli wa mitandaoni wanaitumia sana hii pesa wakishafanya utapeli wao. Hii currency bado ina safari ndefu kukubalika hivyo tusikurupuke tukaingia kichwa kichwa bila ya kuwa na ufahamu wa kutosha kwenye hii kitu.
Sawa Mkuu, kwahiyo kumbe ukiwa na PayPal account huwezi pokea pesa ukiwa Bongo si ndio? Yaani account unakuwa nayo ila kwenye kupokea pesa ndio haiwezekani? Naomba unieleweshe zaidi, maana mie nachofahamu ni kuwa, kuna PayPal account na Bank account unayoweza link na PayPal account. Unaweza kuwa na pesa kwenye PayPal account na bado usitake kuzihamisha pesa kwenda kwenye Bank account.Tatizo ni wewe kupokea pesa kwenye account wale PayPal wanatufanya sisi kama wateja wa mataifa mengine kazi yetu sisi ni kulipa watu wa mataifa mengine ila sisi hatuwezi kupokea pesa kutoka kwa kwao