Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

Au ndio sababu uamuzi wa kesi ya bandari ume sogezwa mbele🤔🤔 kwa sababu pengine majibu yangetoka tofauti na watu walivyo tarajia angesusiwa hayo maadhimisho kesho🤔🤔
 
Au ndio sababu uamuzi wa kesi ya bandari ume sogezwa mbele🤔🤔 kwa sababu pengine majibu yangetoka tofauti na watu walivyo tarajia angesusiwa hayo maadhimisho kesho🤔🤔
Wenye mamlaka wamezima hukumu
 
Ujinga huo...

Marekani ndiyo SI UNIT ya kila mambo ya walimwengu?!!

Wewe ,mimi ,wamarekani wapi na wapi ?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…