Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Mama ameacha kuwa Rais, ameanza kuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji
So wakija 2m ni mafanikio,sababu nauli za ndege zimepanda na uchumi umekua ngumu kwa wazungu1.5m+ year.
Changamkia fursa, hakuna mtu atakuja kukujaza mapesa mfukoni kama mzee Cheyo.Huyu maza ni muongo balaa
Hapana, labda namba Kama itadouble na kuwa mil 3So wakija 2m ni mafanikio,sababu nauli za ndege zimepanda na uchumi umekua ngumu kwa wazungu
KIA pametapika sasa nakukaribisha Erythrocyte uje uone jinsi mafuriko ya watu kwa mtu wanyempenda yalivyo siyo yale mafuriko yenu ya kutengenezaUwanja wa ndege KIA, wanawanchi wakiwa tayari kumpokea Mama
View attachment 2203333
Mpaka idabo!!!?...utalii uliongezeka zaidi baada ya kampeni ya 2011- iliyofika Hadi ligi kuu England,wazungu wakaanza kujua Kilimanjaro ipo tz,ndiyo tukagonga watalii 1m+...hatutarajii impact ya royal tour iwe Kama ugali,kwamba umekula umeshiba hapo hapo,tunatarajia athari ya muda mrefuHapana, labda namba Kama itadouble na kuwa mil 3
Kwa maana tokea 2000 hadi 2019 number ilikua ikiongezeka kila mwaka
Ilikuwa 100k, ikaenda 200k, ikaenda 300k, ikaenda 500k, ikaenda 700k, ikaenda 800k, 1m, Hadi hiyo 1.5 m
Hivyo ikiwa 2m bado si sababu ya royal tour ni trend tuliyokua nayo kabla
Kama itadouble kutoka 1.5m kwenda 3m Ni sawa sababu ya royal tour
So wakija 2m ni mafanikio,sababu nauli za ndege zimepanda na uchumi umekua ngumu kwa wazungu
Mkuu namba imekua ikiongezeka kabla hata hiyo kampeni inayosema ya 2011Mpaka idabo!!!?...utalii uliongezeka zaidi baada ya kampeni ya 2011- iliyofika Hadi ligi kuu England,wazungu wakaanza kujua Kilimanjaro ipo tz,ndiyo tukagonga watalii 1m+...hatutarajii impact ya royal tour iwe Kama ugali,kwamba umekula umeshiba hapo hapo,tunatarajia athari ya muda mrefu
Sahihi kabisa na ndio nilichomueleza, idadi imekuwa ikiongezeka kwa kasi kila mwaka bila royal tour.Wasipungue 2.5m@year, maana utalii ulikuwa unakuwa bila hata hiyo royal tour.
Sahihi kabisa na ndio nilichomueleza, idadi imekuwa ikiongezeka kwa kasi kila mwaka bila royal tour.
Ila ikiongezeka mara mbili ya kasi ya mwanzo basi sababu itakua hiyo royal tour
Inatazamwa ratio,Kama ongezeko kilikua 50k kwa mwaka,wakasajiliwa wanafunzi 100k zaidi,hapo elimu bure itakua imehusikaMkuu namba imekua ikiongezeka kabla hata hiyo kampeni inayosema ya 2011
Trend ipo hivyo tokea mwaka 2000, idadi imekuwa ikiongezeka.
Ni sawa Leo mtu aseme idadi ya wanafunzi imeongezeka kisa elimu bure, wakati idadi imekuwa ikiongezeka kabla hata ya elimu bure
Matangazo yapo,na pengine no athari ya matangazo ya zamani,mtu hawezi panga safari ya tz ghafla baada ya royal tour...sharti ajipangeWasipungue 2.5m@year, maana utalii ulikuwa unakuwa bila hata hiyo royal tour.
Waje tu hao watalii kama wapo kweli, waone tutakavyo wapiga ”kabari ” na kuwapora, kufa kufaaana, maisha magumu sana mtaani.Rais Samia utalii unaanzia wapi na hii hali ngumu ya uchumi duniani?Beiden ulifanikiwa kumuona kwa sura ukiwa USA kwa wiki tatu?
We desperately need to educate ourselves.Uwanja wa ndege KIA, wanawanchi wakiwa tayari kumpokea Mama
View attachment 2203333
Mama ameacha kuwa Rais, ameanza kuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji
Ngoja tujadili kwa data.Inatazamwa ratio,Kama ongezeko kilikua 50k kwa mwaka,wakasajiliwa wanafunzi 100k zaidi,hapo elimu bure itakua imehusika
Umekeleka kwa lipi hasa jamaa yuko sahihiUkweli wko ni upi? Halafu huyu ni Rais wa nchi mpe heshima yake. Tuwe na ustaarabu ktk kutumia Uhuru wa maoni ndugu yangu. Siyo sahihi hicho ulichokiandika yaani kina kera.
Baki na mavi yako kwenu wewendio kwenu na umekimbia