Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

So wakija 2m ni mafanikio,sababu nauli za ndege zimepanda na uchumi umekua ngumu kwa wazungu
Hapana, labda namba Kama itadouble na kuwa mil 3
Kwa maana tokea 2000 hadi 2019 number ilikua ikiongezeka kila mwaka
Ilikuwa 100k, ikaenda 200k, ikaenda 300k, ikaenda 500k, ikaenda 700k, ikaenda 800k, 1m, Hadi hiyo 1.5 m
Hivyo ikiwa 2m bado si sababu ya royal tour ni trend tuliyokua nayo kabla
Kama itadouble kutoka 1.5m kwenda 3m Ni sawa sababu ya royal tour
 
Aisee tunakwenda kwa kasi nzuri sana...

Yaani Dubai, kabla hatujaona Matunda wala kufanya Upembuzi yakinifu tupo Marekani, mara Belgium mara Jumuiya ya Ulaya...

Kwa kasi hii wale matapeli / madalali waliotaka kuuza / kujenga meli wa Uturuki si watapenyeza wengi..., Na ule mpango wa mabasi ya umeme kama ulaya ndio yataanza au tutaanza na ndege ya moja kwa moja kutoka Dallas... na hizo fedha nyingine kidogo ni mkopo, zawadi au kishika uchumba ?

Kweli hii ni kasi ya 4G kama sio 5th au 6th Generation
 
Hapana, labda namba Kama itadouble na kuwa mil 3
Kwa maana tokea 2000 hadi 2019 number ilikua ikiongezeka kila mwaka
Ilikuwa 100k, ikaenda 200k, ikaenda 300k, ikaenda 500k, ikaenda 700k, ikaenda 800k, 1m, Hadi hiyo 1.5 m
Hivyo ikiwa 2m bado si sababu ya royal tour ni trend tuliyokua nayo kabla
Kama itadouble kutoka 1.5m kwenda 3m Ni sawa sababu ya royal tour
Mpaka idabo!!!?...utalii uliongezeka zaidi baada ya kampeni ya 2011- iliyofika Hadi ligi kuu England,wazungu wakaanza kujua Kilimanjaro ipo tz,ndiyo tukagonga watalii 1m+...hatutarajii impact ya royal tour iwe Kama ugali,kwamba umekula umeshiba hapo hapo,tunatarajia athari ya muda mrefu
 
Mkuu namba imekua ikiongezeka kabla hata hiyo kampeni inayosema ya 2011
Trend ipo hivyo tokea mwaka 2000, idadi imekuwa ikiongezeka.
Ni sawa Leo mtu aseme idadi ya wanafunzi imeongezeka kisa elimu bure, wakati idadi imekuwa ikiongezeka kabla hata ya elimu bure
 
Wasipungue 2.5m@year, maana utalii ulikuwa unakuwa bila hata hiyo royal tour.
Sahihi kabisa na ndio nilichomueleza, idadi imekuwa ikiongezeka kwa kasi kila mwaka bila royal tour.
Ila ikiongezeka mara mbili ya kasi ya mwanzo basi sababu itakua hiyo royal tour
 
Sahihi kabisa na ndio nilichomueleza, idadi imekuwa ikiongezeka kwa kasi kila mwaka bila royal tour.
Ila ikiongezeka mara mbili ya kasi ya mwanzo basi sababu itakua hiyo royal tour

Exactly.
 
Mkuu namba imekua ikiongezeka kabla hata hiyo kampeni inayosema ya 2011
Trend ipo hivyo tokea mwaka 2000, idadi imekuwa ikiongezeka.
Ni sawa Leo mtu aseme idadi ya wanafunzi imeongezeka kisa elimu bure, wakati idadi imekuwa ikiongezeka kabla hata ya elimu bure
Inatazamwa ratio,Kama ongezeko kilikua 50k kwa mwaka,wakasajiliwa wanafunzi 100k zaidi,hapo elimu bure itakua imehusika
 
Rais Samia utalii unaanzia wapi na hii hali ngumu ya uchumi duniani?Beiden ulifanikiwa kumuona kwa sura ukiwa USA kwa wiki tatu?​

Waje tu hao watalii kama wapo kweli, waone tutakavyo wapiga ”kabari ” na kuwapora, kufa kufaaana, maisha magumu sana mtaani.
 
Mama ameacha kuwa Rais, ameanza kuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji

F58AFF5C-4E6B-41C6-ABC9-6F42C66595EA.jpeg
 
Inatazamwa ratio,Kama ongezeko kilikua 50k kwa mwaka,wakasajiliwa wanafunzi 100k zaidi,hapo elimu bure itakua imehusika
Ngoja tujadili kwa data.
Mkuu 2006 utalii/watalii walichangia 5.3% ya GNP kutoka 4.5 kwa mwaka uliopita, lilikua ni ongezeko kubwa. He ilisababishwa na royal tour?
Unasema 2011-2012 tulifanya kampeni za utalii nje ya nchi, Ila kwa nn Hadi kufikia 2014 percent ya pato la utalii lilipungua?
Screenshot_20220428-124938_1.jpg
 
Ukweli wko ni upi? Halafu huyu ni Rais wa nchi mpe heshima yake. Tuwe na ustaarabu ktk kutumia Uhuru wa maoni ndugu yangu. Siyo sahihi hicho ulichokiandika yaani kina kera.
Umekeleka kwa lipi hasa jamaa yuko sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom