Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

Mbona unamkandia aliyefanya vizuri kuliko wote
Alifanya yepi mazuri kuliko Mazaa? Sema kwa facts, kwa mfano hapa watu wanaongelea movie ilifanyiwa uzinduzi US, taja movie ya babaako ilofanya vizuri kuliko ya mazaa, ili tulinganishe!
 
Alifanya yepi mazuri kuliko Mazaa? Sema kwa facts, kwa mfano hapa watu wanaongelea movie ilifanyiwa uzinduzi US, taja movie ya babaako ilofanya vizuri kuliko ya mazaa, ili tulinganishe!
Baba yangu alifariki miaka 50 iliyopita! Unaongelea Yupi?
 
Jibu ni rahisi kwako kwamba una low brain ya kujua mambo haya yako juubya uwezo wako. Ungepata div one angalau ukaenda udsm ungeelewa haya. Lakini div three yako na kwenda SAUT huwezi elewa.
Mkuu, labda ni kweli huyo jamaa ana low brain, lakini hapo kwenye div sijui wani sijui sirii, umefeli! Una low brain kuliko yeye, kama kuwa na brain, kwa upande wako, ni kupata div one na kwenda mlimani, basi iq yako ni sawa na ya mende!
 
Kwani unataka kusema aliye na div zero ndo ana akiri kuliko mwenye div one?
 
Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19
Screenshot_20220429-090355.jpg
 
Back
Top Bottom