Nimecheka 😂Humphrey Polepole ndiye angekuwa kiungo cha Maridhiano Nchini na Duniani.
Amepata binadamu baada ya kuona mambo yake ya Cuba yamezuiwa?Huyu ni binadamu, kama huoni ubinadamu wake ukilinganisha na mambo mazuri alikuwa akishauri wewe ni mpuuzi