Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
...My Comment is...No Comment! 😏😏
 
Kuwa makini sana sheikh, kama unatumika kisiasa ni heri ukaacha na ukafanya mambo yoko. ukiangalia asilimia kubwa ya wanaomchukia mama huyu ni wakristo, na asilimia chache ni waislamu ambao ni wafuata mkumbo tu. Wakati wa magufuli hatukuyaona haya, wakati wa mkapa hatukuyaona haya, ila akiingia tu Muislamu fyoko fyoko zinaanza

Pili, Uislamu haujatufundisha kuchukia mtu, awe Muislamu ama asie Muislamu wote tuwapende.
Lazima wakristo wamchukie kwanini anatoa pesa za walipa kodi kwa viongozi wa Dini kwakati nchi yetu siyo ya Dini, na kwanini hatoi pesa kwa watu ambao hawana Dini na kwanini yeye ana gawa pesa hovyo kwa watu ambao wanauwezo wa kujitegemea anaacha wagonjwa wasiojiweza kwa Matibabu, katumia zaidi ya Bilioni moja kwa kuwapa Maaskofu kwanini hizo pesa asinge wakusanya watoto wote mayatima akawalipa ada shule na Bweni. Lakini yeye anataka sifa kwa kuwasaidia watu mwenye maisha mazuri tu. Kwanini wezi wanaiba pesa za umma anawaacha.
 
Ukiangalia ile video JK anampigia chapuo Samia halafu pembeni anajifanya anashangaa na hajafurahishwa na kuteuliwa gafla nabaki nacheka sana.

Anyway CCM inaratibu haya mambo ili wananchi tuwe mazuzu tuweke sikio kwao tu na tuachane na No Reform No election.
 
Hizo ni ndoto za mchana kila panaspo karibia uchanguzi vitisho kama hivyo kuchomozwa na kutia hofu, kama JPM haiweza bila wenye chama na haikufa, kama JK aliweza pamoja na muunganiko wa RC na dr Slaa walishindwa kwa Raisi hu ni kazi nyepesi kishinda huo uchanguzi either uwepo au usiwepo atashinda tu. Tanzania nzima hatuna vichwa "think tanks" kupindua CCM, mass uprising hiyo jambo lisio wenzekana kabisa......kwa ufupi mama tuko nae mpaka 2030,
2030,Mtafika totally dehydrated,drip za maji kama zote na mikopo umiza toka abroad all angle We sold out as Job Ndungai hinted.
 
Aachie ngazi tu, si ameshakuwa rais, anataka nini tena?

Kama anaamini bado anataka kuwa rais basi aweke mchakato fair ndani na nje ya chama mbungi ipigwe haki bin haki siyo kutafuta mbeleko!
Mbeleko Fc chama chake ndo Founder,na yeye ni co founder,Mimi akija na plan ya kuguta deni na kulishisha mpaka aliookikuta,Miaka 800 inamhsu,please Rais wa kukopa no more vibe.
 
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Daktari Samia hana shida, ila shida ipo kwa yule boss wake pale MSG
 
Amejazwa akajazika sasa hana pa kutokea.
Huyu hajui lolote kuhusu siasa za Tanzania na ccm.
Pale alipo kuna wilaya na mikoa hajawahi hata kufika. Anafikiri kila anayemsifia anamprnda??
Mkoa upi hajawahi kufika ?
 
Ningepata nafasi ya kutoa ushauri kwa Mama ningemshauri akae na wapinzani wamalize vizuri twende kwenye uchaguzi. Akimalizana na upinzani vizuri, wapinzani ndani ya chama chake nguvu itapungua.
 
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Mimi mwenyewe simtaki.
 
Hakijui chama vzr, kitamfia kweli na mkwere na yeye kama kawaida yake kuingiza watu chaka afu anaruka mita mia mambo yakicharuka.

No Reforms hatimaye imetua rasmi CCM.
 
Back
Top Bottom