gabriel Heinze
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 499
- 663
Hapo sawa mi niko na wine hapa chupa moja naimalizia nilale nikiamka kula na kwenda club.Masta , nakula pombe ki masta sana , nipo gheto tu nasoma gazeti la forbes🤣🤣🤣🤣 huku natia ulabu kimtindo tu😊