B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,649
- 6,411
Ukweli mchunguChama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.