Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Ya kweli hayo?JK alikuwa anaml..ujue!
Ya kweli hayo?JK alikuwa anaml..ujue!
Kwani wewe CHADEMA umepende au usimpende hiyo wala haimshtui. By the way ikimfia si ndio itakuwa powa kwa CHADOMO? Sasa shida iko wapi. Endeleeni kuota ndoto za mchana na kukosa dira kama chama mmebaki kudandia matukio tu.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Na Mimi silipendi jimamaChama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Halafu wewe kama si yeye sijui!Angalia usije ukapotea
Watakao kiuwa chama,walio kiuwa chama ni chawa na uchawa,kwenye maziko yake nipo tayari hata chuchimba kaburi peke yangu.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
MsalimieAl SharaahWatanzania tunajidanganya saana, hakuna namna walioko jikoni wanaweza kupindua meza maana na wao wengi wao ni sehemu ya Gambino familia, wao na familia zao wanaishi na kuneemeka na mfumo.
Watanzania pekee siku wakiwa serious na reform ya mifumo ndio kitu pekee kinachoweza kuiokoa hii nchi, Watanzania wenyewe wakigundua dhulma wanazofanyiwa na kuamua kuingia barabarani ndio namna pekee ya kuleta mabadiriko.
safarini Homs na Damascus.
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Hawa mbona ulionekana kumtetea sana ndugu ponjoroMimi mwenyewe simtaki.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hatakiwi kila kona.Mimi mwenyewe simtaki.
Chai4 R zinauaje chama? Mpja ya ubunifu wa hali ya juu kupata kutokea
Sijui piaHalafu wewe kama si yeye sijui!
AiseeWatakao kiuwa chama,walio kiuwa chama ni chawa na uchawa,kwenye maziko yake nipo tayari hata chuchimba kaburi peke yangu.
Chai
😂😂😂😂😂😂Na Mimi silipendi jimama
Leo wikend kunywa 10, kisha beba mrembo kalale😅😅😅😅 ndio kwanza nipo bia ya tatu bwashee
Masta , nakula pombe ki masta sana , nipo gheto tu nasoma gazeti la forbes🤣🤣🤣🤣 huku natia ulabu kimtindo tu😊Leo wikend kunywa 10, kisha beba mrembo kalale
Naam ila msimwambie maana mimi nakula kwa kumsifia.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hatakiwi kila kona.