Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Kauli hii;
a) Aliambiwa Mzee Mwinyi. CCM haikumfia.
b) Aliambiwa Mzee Mkapa na CCM haikumfia.
c) Aliambiwa Mzee Kikwete na CCM haikufa kipindi chake.
d) Aliambiwa Mwamba. Magufuli. "eti" kwakuwa HAKUWAHI kuwa Kiongozi wa CCM kwa ngazi yoyote ile, lakini CCM ikawa imara zaidi ya kipindi chochote kile na haikufa.
Leo mnakuja na ramli zilezile za kipuuzi na kipumbavu kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa Rais Samia.
CCM ITAENDELEA KUWA IMARA ZAIDI YA JUZI, JANA NA LEO CHINI YA KOMREDI SAMIA SULUHU HASSAN!!
 
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
We mbwa koko hujui maana ya upendo. Mkutano mkuu umchagua kwa 99.8% usemi hapendwi? Sema we humpendi sisi tunampenda tena sana.
 
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
CCM mpk vitukuu na vilembe itadumu na utaishuhudia ukiwa kuzimu.
 
Kosa la wana mikakati wa CCM ni kuwafungia Chadema upinzani unauhamishia ndani kwenu msingemfunga Lissu upinzani wa ndani ungezimwa kwa kuwashambulia kimajukwaa akina Lissu.
 
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Hakuna Rais ambae yupo Strong na vision kama Rais Samia, Mama ana vision sana na Tanzania ijayo yenye maendeleo.... Nchi inaenda kuwa na uchumi wa Kati ngazi ya Juu.... soon
 
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.

Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.

Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Kikwete yupo nyuma ya Samia, pia Samia mwenyewe kafanya mengi sana huko mikoani.

Nchi hii inavyojadiliwa na wasomi wanaoishi kwenye majiji makubwa ni tofauti na inavyotazamwa na watu huko vijijini.

Samia na waziri wa Maji ndani ya awamu ya sita wamepambana sana kuhakikisha maji yanawafikia walio wengi.
 
Kuwa makini sana sheikh, kama unatumika kisiasa ni heri ukaacha na ukafanya mambo yoko. ukiangalia asilimia kubwa ya wanaomchukia mama huyu ni wakristo, na asilimia chache ni waislamu ambao ni wafuata mkumbo tu. Wakati wa magufuli hatukuyaona haya, wakati wa mkapa hatukuyaona haya, ila akiingia tu Muislamu fyoko fyoko zinaanza

Pili, Uislamu haujatufundisha kuchukia mtu, awe Muislamu ama asie Muislamu wote tuwapende.
Nchi yetu inakufa kwa sababu tunaendeleza haki sawa. Kenya ipo mbali kwa sababu haijawahi na haitakaa iongozwe na rais mvaa makobazi. Marais wavaa makobazi wametuharibia sana nchi kuanzia Kikwete, Mwingi hadi Mama.
 
Kwanini muislamu akiongoza kunakuwa na amani+maendeleo! Wakristo wenyewe wanalijua hilo
 
Back
Top Bottom