B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,417
Ukweli mchunguChama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
NO REFORMS, NO ELECTION.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Vichwa maji hahahaha ππππ!Watu kama nyie ni vichwa sana kwa kwelπ
Hili Alisha liweka Wazi kwamba kilichompa hamasa ya siasa ni upinzani wa maalim seifKuna KITU kinanambia SAMIA IPO SIKU atahama chama ataenda wapi SIJUI ILA MWISHO WA SIKU atasapoti upinzani ILI kuwakomoa ccm hapohapo Kuna chama kitashinda ni kipi sijui
Amekiuka kujitangaza Mgombea kabla ya uteuzi sawa na Mpina alivyotolewa mapema π€£π€£π€£
Kama haikumfia Jakaya haifi tena
πππππππNdio maana huwa kuna haja ya kubadili viongozi kila baada ya muda fulani, imagine huyu anataka tukae nae miaka 15 hata aibu hana jamani???!! hata kama ni uroho wa madaraka vitu vingine vinahitaji hata kuona aibu tu.
Na yeye njia moja tayari na CCM yake.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Utatekwa halafu upo Kidimbwi mimi sipoπ€£Vichwa maji hahahaha ππππ!
Ye aparangane hukoooo abagein hukoooo asain mikataba fekero auze nchi sio shida zetu alimradi atuongezeee na kutupandisha bridges πππ!
ππππππsimpendi pia
ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππππUtatekwa halafu upo Kidimbwi mimi sipoπ€£
Sio kazi ya raisi kuenda wilaya zote hata wazr wa elimu hajui shule zote samia yupo huwez kumshaur rais ujinga mshashindwa plan A BC sasa nao Mpo ZUnaota wewe,mama yupo sana
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Hizo ni ndoto za mchana kila panaspo karibia uchanguzi vitisho kama hivyo kuchomozwa na kutia hofu, kama JPM haiweza bila wenye chama na haikufa, kama JK aliweza pamoja na muunganiko wa RC na dr Slaa walishindwa kwa Raisi hu ni kazi nyepesi kishinda huo uchanguzi either uwepo au usiwepo atashinda tu. Tanzania nzima hatuna vichwa "think tanks" kupindua CCM, mass uprising hiyo jambo lisio wenzekana kabisa......kwa ufupi mama tuko nae mpaka 2030,Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.