Uapishwaji ni ushirikiano?Rais anao wasaidizi wake wanaoendelea na kazi wakati yeye anapohudhuria shughuli ya kuapishwa ya Museveni.
Huwezi kukwepa kushirikiana na jirani yako unayetegemea bomba la mafuta kutoka nchi yake lipitishwe ndani ya nchi yako.
Huwezi kumkwepa Museveni ambaye raia wa Uganda wana muingiliano mkubwa na sisi watanzania.
Hiyo miradi inaweza kukaguliwa na Majaliwa na waziri Kalemani.
Nadhani bado anaomboleza kifo cha jiweKaribu marais 10 wapo uganda kwa ajili ya uapisho wa museveni wala sio samia peke yake,kikubwa watu wapo kwenye mshangao kagame mpaka sasa hajatia mguu kwenye uapisho wa kaka yake
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavuSawa, ila mungu wenu wasukuma ndio alikuwa kubwa la madikteta jinga na lishamba
Duuh!M7 amegoma kuuachia Urais, kasema hadi sasa hajapata mtu mwenye akili atakayemrisisha madaraka.
Unavyowakilisha mawazo yako utadhani umetoka sayari nyingine na kuja leo duniani.Uapishwaji ni ushirikiano?
Kuna matatizo mangapi yanoyohitaji kuonekana tu kwa uwepo wa rais kwa wananchi na kupatiwa ufumbuzi sasa hivi ni mwendo wa kujitambulisha kana kwamba Uganda hatuna mahusiano nao.
Kwanini asingetumwa makamu wa rais?
Endeleeni kumtetea kwa mambo ya msingi wananchi wa kawaida wanayolalamikia lakini mnamkingia kifua kwa kwa utetezi usi na tija mwisho wake jahazi wataligeuza wananchi.
Nchi kwa sasa inatakiwa ifanye bidii kuwa na uwezo wa kujitegemeea kwa kuwatia moyo na hamasa wananchi kufanya kazi katika eneo lolote la kiuchumi. Kilimo, ufugaji, uvuvi na huduma ndio vitu vinavotakiwa kwa sasa kuhimizwa sio safari za hapa na pale.
Mama anasafiri na dege la watu zaidi ya 100 pekeyake na mabodigadi tu 😂Yeah na tupo uchumi wa kati.
Uhuru upi unaogelea wewe, JPM kawapa watu wa maisha ya chini (wamachinga, mama lishe, bodaboda) Uhuru wa kufanya kazi bila bugudha na biashara zao kutambulika. Hata mitandaoni Kama jf na fb mlikuwa na huru wa kutoa maoni yenu na kutukana mtakavyo, Uhuru gani mlitaka nyie Nyumbu?ndo raha yakutunza afya ,moyo mwenyewe mbovu,kifafa mwenyewe ,utasafirije angani...kitendo cha kuruka kutoka usawa wabahari kwenda juu kunahtaji afya .....acheni mama atimize wajib wake....kikubwa tunamshukuru katuondolea udikteta tuko huru kabla ya sheria kuchukua mkondo wake kwa kosa halali sio yakubumba ,upo?
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kazi yenu hapo ufipani hamuishiwi maneno. Jpm alikua haendi mkasema, jaka alitoka mkasemaa. Hivi kwa nini jamaniiii?? Ebu mwacheni mama yangu afanye majukumu yakeeeTayari zimefika tatu na kuna dalili anaweza kumpita Vasco Dagama.
Kazi iendelee
Mlinyimwa Uhuru wa kutukanaaa kweliii kabisaaUhuru upi unaogelea wewe, JPM kawapa watu wa maisha ya chini (wamachinga, mama lishe, bodaboda) Uhuru wa kufanya kazi bila bugudha na biashara zao kutambulika. Hata mitandaoni Kama jf na fb mlikuwa na huru wa kutoa maoni yenu na kutukana mtakavyo, Uhuru gani mlitaka nyie Nyumbu?
Huyu naye ni kama Jiwe, sana sana wanatofautiana ile kitu basi.............. tabia, mwenendo na hulka ni sawa....... johnthebaptistRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.
Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
Wananchi tumeichoka CCM sana.....na tunaichukia kuliko hata Shetani......lakini mbadala wa CCM ni nani......??Mkuu ccm haijabailika na haitabadilika bila kufurushwa kama KANU na UPC
Mapema sana mkuu.....huo ni ujirani mwema.....Huyu naye ni kama Jiwe, sana sana wanatofautiana ile kitu basi.............. tabia, mwenendo na hulka ni sawa....... johnthebaptist
Mbadala wa ccm ni vyama vya upinzani.Wananchi tumeichoka CCM sana.....na tunaichukia kuliko hata Shetani......lakini mbadala wa CCM ni nani......??
That's how politics work! Hata huyo Bob Wine angekuwa ndo ameshinda unadhani ndo hivi sasa angekuwa ana sauti moja na upinzani wa Tanzania?!Rafiki yao, huyo nae alikuja wakati wa sherehe za kuapishwa mwendazake, huku Bobi Wine nyumba yake imezungukwa na maaskari toka jana asubuhi, kweli ndege wafananao huruka pamoja.
Kazi ipo, hivi huwezi kuomba lift?Mama anasafiri na dege la watu zaidi ya 100 pekeyake na mabodigadi tu 😂