Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

M7 amegoma kuuachia Urais, kasema hadi sasa hajapata mtu mwenye akili atakayemrisisha madaraka, anasema kwanza eti huyo mcheza mziki asahau kabisa kuwa Rais wa Uganda.
 
Nakumbuka niliona bango pahala kuwa atakuwa mgeni rasmi kwenye siku ya kitaifa ya wauguzi nafkiria n manyara Tena itakuwa tar 12 sijui au nimekosea ndugu zangu?
 
Rais anao wasaidizi wake wanaoendelea na kazi wakati yeye anapohudhuria shughuli ya kuapishwa ya Museveni.

Huwezi kukwepa kushirikiana na jirani yako unayetegemea bomba la mafuta kutoka nchi yake lipitishwe ndani ya nchi yako.

Huwezi kumkwepa Museveni ambaye raia wa Uganda wana muingiliano mkubwa na sisi watanzania.

Hiyo miradi inaweza kukaguliwa na Majaliwa na waziri Kalemani.
Uapishwaji ni ushirikiano?

Kuna matatizo mangapi yanoyohitaji kuonekana tu kwa uwepo wa rais kwa wananchi na kupatiwa ufumbuzi sasa hivi ni mwendo wa kujitambulisha kana kwamba Uganda hatuna mahusiano nao.

Kwanini asingetumwa makamu wa rais?

Endeleeni kumtetea kwa mambo ya msingi wananchi wa kawaida wanayolalamikia lakini mnamkingia kifua kwa kwa utetezi usi na tija mwisho wake jahazi wataligeuza wananchi.

Nchi kwa sasa inatakiwa ifanye bidii kuwa na uwezo wa kujitegemeea kwa kuwatia moyo na hamasa wananchi kufanya kazi katika eneo lolote la kiuchumi. Kilimo, ufugaji, uvuvi na huduma ndio vitu vinavotakiwa kwa sasa kuhimizwa sio safari za hapa na pale.
 
Sawa, ila mungu wenu wasukuma ndio alikuwa kubwa la madikteta jinga na lishamba
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Uapishwaji ni ushirikiano?

Kuna matatizo mangapi yanoyohitaji kuonekana tu kwa uwepo wa rais kwa wananchi na kupatiwa ufumbuzi sasa hivi ni mwendo wa kujitambulisha kana kwamba Uganda hatuna mahusiano nao.

Kwanini asingetumwa makamu wa rais?

Endeleeni kumtetea kwa mambo ya msingi wananchi wa kawaida wanayolalamikia lakini mnamkingia kifua kwa kwa utetezi usi na tija mwisho wake jahazi wataligeuza wananchi.

Nchi kwa sasa inatakiwa ifanye bidii kuwa na uwezo wa kujitegemeea kwa kuwatia moyo na hamasa wananchi kufanya kazi katika eneo lolote la kiuchumi. Kilimo, ufugaji, uvuvi na huduma ndio vitu vinavotakiwa kwa sasa kuhimizwa sio safari za hapa na pale.
Unavyowakilisha mawazo yako utadhani umetoka sayari nyingine na kuja leo duniani.

Angemtuma makamu wake wengine wangekuja na hoja ya kwanini hakwenda yeye mwenyewe.

Tafuta unga na mchele wa kupeleka nyumbani kwako haya mengine yatakuumiza kichwa bila ya sababu.
 
Wanawake kwa kupenda Safari na Shughuli naona atampita mpaka Kikwete , tutakuja kuona mbeleni huko wacha tusubiri .
 
ndo raha yakutunza afya ,moyo mwenyewe mbovu,kifafa mwenyewe ,utasafirije angani...kitendo cha kuruka kutoka usawa wabahari kwenda juu kunahtaji afya .....acheni mama atimize wajib wake....kikubwa tunamshukuru katuondolea udikteta tuko huru kabla ya sheria kuchukua mkondo wake kwa kosa halali sio yakubumba ,upo?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Uhuru upi unaogelea wewe, JPM kawapa watu wa maisha ya chini (wamachinga, mama lishe, bodaboda) Uhuru wa kufanya kazi bila bugudha na biashara zao kutambulika. Hata mitandaoni Kama jf na fb mlikuwa na huru wa kutoa maoni yenu na kutukana mtakavyo, Uhuru gani mlitaka nyie Nyumbu?
 
Tayari zimefika tatu na kuna dalili anaweza kumpita Vasco Dagama.

Kazi iendelee
Kazi yenu hapo ufipani hamuishiwi maneno. Jpm alikua haendi mkasema, jaka alitoka mkasemaa. Hivi kwa nini jamaniiii?? Ebu mwacheni mama yangu afanye majukumu yakeee
 
Uhuru upi unaogelea wewe, JPM kawapa watu wa maisha ya chini (wamachinga, mama lishe, bodaboda) Uhuru wa kufanya kazi bila bugudha na biashara zao kutambulika. Hata mitandaoni Kama jf na fb mlikuwa na huru wa kutoa maoni yenu na kutukana mtakavyo, Uhuru gani mlitaka nyie Nyumbu?
Mlinyimwa Uhuru wa kutukanaaa kweliii kabisaa
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.

Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.

Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.


=======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.

Huyu naye ni kama Jiwe, sana sana wanatofautiana ile kitu basi.............. tabia, mwenendo na hulka ni sawa....... johnthebaptist
 
Ni mtu wa Kupenda Kusafiri sana, Ni safari ndizo zilimletea mkwaruzano na Hayati JPM. (Hii story ni ndefu kidogo)
 
Rafiki yao, huyo nae alikuja wakati wa sherehe za kuapishwa mwendazake, huku Bobi Wine nyumba yake imezungukwa na maaskari toka jana asubuhi, kweli ndege wafananao huruka pamoja.
That's how politics work! Hata huyo Bob Wine angekuwa ndo ameshinda unadhani ndo hivi sasa angekuwa ana sauti moja na upinzani wa Tanzania?!

Urafiki na upinzani wa nchi nyingine unakoma pale mpinzani mmoja anapoingia madarakani!! Hata CHADEMA au ACT wangekuwa ndo wameingia Magogoni, biashara yetu na akina Bob Wine ingekuwa imeishia hapo, na kuanzia hapo Bob Wine angekuwa anapiga story na akila Polepole!!!

Ukiambiwa politics ni unafiki, tafsiri yake ndo hiyo!!!
 
Back
Top Bottom