Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

Kati ya kuapishwa na msiba upi wenye Nguvu? Bakizeni ata akili kidogo mnapompenda mtu maana mmekuwa kama vichaaa
Wewe ndio unaongea kama kichaa. Aweze kuhudhuria kuapishwa pale Dodoma halafu rais wako asiende kuhudhuria kuapishwa kwake kwao Uganda?

Uhusiano wa nchi na nchi sio kama wa wewe na rafiki yako ule wa kununulia vocha za buku tano na kurushiana namba za vocha kwenye simu.
 
Raisi Samia anakimbia maelemeo, ni wazi sasa anaanza kupata joto la uongozi na bado, kuanza kupenda safari ni angalau kutafuta nafasi ya kupumulia
 
Badala ya kufanya kazi amekuwa ni Rais wa kuzurura ndani na nje ya nchi!She is cursed one term president.
 
wasukuma mna hasira sana na Mama , mtavimba masaburi ayo kwa hasira , misukule ya dikteta mwizi
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Alikwambia CHEDEMA ni Mbowe, Lema nani? CHELADEMA ni mioyo
 
VIDEO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe nchini Uganda ambapo baadaye leo atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
 
Baada ya soko la utalii kushuka naona ameamua kufanya utaliii mwenyewe kwa vitendo. Hongera JPM bila maamuzi yako ya kununua ndege sijui ndege za kukodi au ipi ingekuwa inatumiwa na wataliii wa ndani
 
Mmmh Jaman , mdomo koma, huyu Mama mbona anapenda sana ndege Jaman , utadhan za Baba ake mxieew ushamba tu si atume wawakilishi
Mwacheni mama akate anga mbona mwendazake mlishamsema kuwa hatoki,, sasa Mh Rais huyu anatoka mmeanza tena maneno, watu bhana!!!
 
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Sawa, ila mungu wenu wasukuma ndio alikuwa kubwa la madikteta jinga na lishamba
 
Ameshika nini katika kiganja chake cha mkono wa kulia?
Na mbona hajavaa barakoa, au ataivalia Kampala?
Naona bado kuna mibunduki kama yote. Hapo airport kwetu kuna maharamia?
 
Back
Top Bottom