Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye AKIWAPENDA na kudhani WANAMSAIDIA hasa Kiufanisi na kwa Watanzania.

Hakuna BINADAMU anayefanikiwa au anayejua mapungufu yake iwe KIUTENDAJI au KIMAISHA kama ama hapendi au hakubali KUKOSOLEWA na kwa Sisi wenye IMANI na kidogo mambo ya SAIKOLOJIA tumeyapitia tunaamini kuwa ukiona UNAKOSOLEWA JUA UNAPENDWA na UNATAKIWA MEMA na ukiona kila mara tu UNASIFIWA HADI WATU KUKUFURU kwa Mwenyezi Mungu jua WANAKUSANIFU, HAWAKUPENDI, HAWAKUTAKII MEMA na kwamba ANGUKO LAKO wala HALIKO MBALI nawe.

Hata Mimi GENTAMYCINE ninaeandika hapa NAKUPENDA MNO kama siyo SANA na ndiyo maana unaona huwa NAKUKOSOA na pale nikiona umepatia NAKUSIFIA ila nasikitika kuwa nami pia umeniweka katika Kundi la Watu (Keyboard Warriors) unaowaona ni ADUI KWAKO MITANDAONI (hasa hapa JamiiForums)

Mheshimiwa Rais Samia kama kuna UTAJIRI MKUBWA ambao Mwanao Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimepewa na Mwenyezi Mungu ni wa KUONA MBALI, KUSHAURI VYEMA na AKILI na sishangai ndiyo maana hata KIASILI nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" katika Maisha yangu.

Ushauri wangu mkubwa Kwako ni kwamba penda KUKOSOLEWA, JITATHMINI, SAMEHE WALIOKUKWAZA hasa KISIASA, SHIRIKIANA NA WALE ULIODANGANYWA NI MAADUI ZAKO kwa MASLAHI YA MAMA TANZANIA na KATAA KABISA kuwa chini ya MACHAWA ambao 24/7 WANAKUHARIBIA bila ya Wewe kujua.

Ukijirekebisha nina uhakika wa 100% unaweza kuja kuwa Rais bora kabisa Mwanamama kuwahi kutokea katika Bara la Afrika na pengine hata Duniani.

Naomba Mzanaki, Myao na Mtutsi Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niishie hapa ila niseme tu kwa Jicho langu HATARI la NDEGE TAI naona kuna TATIZO KUBWA mahala kwa Tanzania yangu hivyo waite WASAIDIZI WAKO wakufafanulie vizuri japo nina wasiwasi kutokana na UCHAWA WAO na kutotaka kupoteza NAFASI ZAO ukikutana nao watakuambia Mama kila kitu kipo vizuri achana na huyo Mpuuzi GENTAMYCINE na hao 'Keyboard Warriors' wengine JamiiForums kwani wana WIVU na CHUKI nawe halafu ni WAPINZANI kutoka CHADEMA.

Uwe na Jumatano Njema Mh. Rais Samia.
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.
 
Kwenye hao Mawadhiri; ngoja mimi Kaka yako nikusaidie kuwataja ili kama ni Ukoonger, twende wote!
1. Lameck Hemed PhD
2. Hussein Machozi Bashery
3. Genister Peramiho Mhagammar
Niendelee na kwa wengine?
Abdul Misambano
Niongeze idadi...!!
 
Hakuna anaependa kukosolewa kwa matusi,kejeli nk ila response ndio inaweza ikatofautiana
 
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye AKIWAPENDA na kudhani WANAMSAIDIA hasa Kiufanisi na kwa Watanzania.

Hakuna BINADAMU anayefanikiwa au anayejua mapungufu yake iwe KIUTENDAJI au KIMAISHA kama ama hapendi au hakubali KUKOSOLEWA na kwa Sisi wenye IMANI na kidogo mambo ya SAIKOLOJIA tumeyapitia tunaamini kuwa ukiona UNAKOSOLEWA JUA UNAPENDWA na UNATAKIWA MEMA na ukiona kila mara tu UNASIFIWA HADI WATU KUKUFURU kwa Mwenyezi Mungu jua WANAKUSANIFU, HAWAKUPENDI, HAWAKUTAKII MEMA na kwamba ANGUKO LAKO wala HALIKO MBALI nawe.

Hata Mimi GENTAMYCINE ninaeandika hapa NAKUPENDA MNO kama siyo SANA na ndiyo maana unaona huwa NAKUKOSOA na pale nikiona umepatia NAKUSIFIA ila nasikitika kuwa nami pia umeniweka katika Kundi la Watu (Keyboard Warriors) unaowaona ni ADUI KWAKO MITANDAONI (hasa hapa JamiiForums)

Mheshimiwa Rais Samia kama kuna UTAJIRI MKUBWA ambao Mwanao Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimepewa na Mwenyezi Mungu ni wa KUONA MBALI, KUSHAURI VYEMA na AKILI na sishangai ndiyo maana hata KIASILI nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" katika Maisha yangu.

Ushauri wangu mkubwa Kwako ni kwamba penda KUKOSOLEWA, JITATHMINI, SAMEHE WALIOKUKWAZA hasa KISIASA, SHIRIKIANA NA WALE ULIODANGANYWA NI MAADUI ZAKO kwa MASLAHI YA MAMA TANZANIA na KATAA KABISA kuwa chini ya MACHAWA ambao 24/7 WANAKUHARIBIA bila ya Wewe kujua.

Ukijirekebisha nina uhakika wa 100% unaweza kuja kuwa Rais bora kabisa Mwanamama kuwahi kutokea katika Bara la Afrika na pengine hata Duniani.

Naomba Mzanaki, Myao na Mtutsi Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niishie hapa ila niseme tu kwa Jicho langu HATARI la NDEGE TAI naona kuna TATIZO KUBWA mahala kwa Tanzania yangu hivyo waite WASAIDIZI WAKO wakufafanulie vizuri japo nina wasiwasi kutokana na UCHAWA WAO na kutotaka kupoteza NAFASI ZAO ukikutana nao watakuambia Mama kila kitu kipo vizuri achana na huyo Mpuuzi GENTAMYCINE na hao 'Keyboard Warriors' wengine JamiiForums kwani wana WIVU na CHUKI nawe halafu ni WAPINZANI kutoka CHADEMA.

Uwe na Jumatano Njema Mh. Rais Samia.
OKTOBA TUNA ✔️
 
Sifahamu ni kwanini raisi ana imani sana na machawa na hawa wa inner circle ambao mmojawapo amfanya alalamike kuhusu mapato wakati huyohuyo ndie angemsaidia kukusanya mapato makubwa.

Pia raisi ajitafakari kuhusu kusikiliza ushauri uso rasmi (kutoka nje ya box) ambao ndo kwa sasa wazidi kumharibia.
 
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye AKIWAPENDA na kudhani WANAMSAIDIA hasa Kiufanisi na kwa Watanzania.

Hakuna BINADAMU anayefanikiwa au anayejua mapungufu yake iwe KIUTENDAJI au KIMAISHA kama ama hapendi au hakubali KUKOSOLEWA na kwa Sisi wenye IMANI na kidogo mambo ya SAIKOLOJIA tumeyapitia tunaamini kuwa ukiona UNAKOSOLEWA JUA UNAPENDWA na UNATAKIWA MEMA na ukiona kila mara tu UNASIFIWA HADI WATU KUKUFURU kwa Mwenyezi Mungu jua WANAKUSANIFU, HAWAKUPENDI, HAWAKUTAKII MEMA na kwamba ANGUKO LAKO wala HALIKO MBALI nawe.

Hata Mimi GENTAMYCINE ninaeandika hapa NAKUPENDA MNO kama siyo SANA na ndiyo maana unaona huwa NAKUKOSOA na pale nikiona umepatia NAKUSIFIA ila nasikitika kuwa nami pia umeniweka katika Kundi la Watu (Keyboard Warriors) unaowaona ni ADUI KWAKO MITANDAONI (hasa hapa JamiiForums)

Mheshimiwa Rais Samia kama kuna UTAJIRI MKUBWA ambao Mwanao Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimepewa na Mwenyezi Mungu ni wa KUONA MBALI, KUSHAURI VYEMA na AKILI na sishangai ndiyo maana hata KIASILI nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" katika Maisha yangu.

Ushauri wangu mkubwa Kwako ni kwamba penda KUKOSOLEWA, JITATHMINI, SAMEHE WALIOKUKWAZA hasa KISIASA, SHIRIKIANA NA WALE ULIODANGANYWA NI MAADUI ZAKO kwa MASLAHI YA MAMA TANZANIA na KATAA KABISA kuwa chini ya MACHAWA ambao 24/7 WANAKUHARIBIA bila ya Wewe kujua.

Ukijirekebisha nina uhakika wa 100% unaweza kuja kuwa Rais bora kabisa Mwanamama kuwahi kutokea katika Bara la Afrika na pengine hata Duniani.

Naomba Mzanaki, Myao na Mtutsi Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niishie hapa ila niseme tu kwa Jicho langu HATARI la NDEGE TAI naona kuna TATIZO KUBWA mahala kwa Tanzania yangu hivyo waite WASAIDIZI WAKO wakufafanulie vizuri japo nina wasiwasi kutokana na UCHAWA WAO na kutotaka kupoteza NAFASI ZAO ukikutana nao watakuambia Mama kila kitu kipo vizuri achana na huyo Mpuuzi GENTAMYCINE na hao 'Keyboard Warriors' wengine JamiiForums kwani wana WIVU na CHUKI nawe halafu ni WAPINZANI kutoka CHADEMA.

Uwe na Jumatano Njema Mh. Rais Samia.
The worst head of state
 
Kifo cha magu kimetuletea kunguru mwoga....hajui lolote zaidi ya vimipasho......na kukopakopa......kisha tulipe sisi kupitia tozotozo....pesa zenyewe anazokopa nyingi zapelekwa zanzibar kulipa tulipe wa huku bara....tumekufa
 
Mkuu mjini mnakula bata. Mngejua hali ilivyo huku vijijini msingemsifu huyu mama yenu.

Hali ni mbaya, miradi mingi imesimama. Shule hazina walimu, huwezi amini shule yenye wanafunzi 300 ina walimu wanne tu tangu darasa la awali hadi la saba.

Msichokijua kingine, miradi ya ujenzi wa taasisi kama zahanati, maji na shule kwa sasa mwananchi anakamuliwa michango hadi 20000 kwa mradi mmoja kutokana na gharama za ujenzi kuwa kubwa kuliko fedha zinazotengwa kwa mirdi hiyo.

Hali ya barabara ni kitendawili, achilia mbali wazazi kubebeshwa gharama za michango hadi kwenye umitashumta na mitihani ya kata, wilaya hadi mkoa. Ni kama ada imerudi bado tu kutangazwa rasmi.

Chawa mko busy elimu bure. Shule inapewa sh 720,000 matumizi ya mwaka mzima, huku shule ikitakiwa kulipa mchango wa mwenge, mitihani na matukio mengine.

Fanya utafiti kabla ya kumpongeza.
 
Back
Top Bottom