Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye AKIWAPENDA na kudhani WANAMSAIDIA hasa Kiufanisi na kwa Watanzania.

Hakuna BINADAMU anayefanikiwa au anayejua mapungufu yake iwe KIUTENDAJI au KIMAISHA kama ama hapendi au hakubali KUKOSOLEWA na kwa Sisi wenye IMANI na kidogo mambo ya SAIKOLOJIA tumeyapitia tunaamini kuwa ukiona UNAKOSOLEWA JUA UNAPENDWA na UNATAKIWA MEMA na ukiona kila mara tu UNASIFIWA HADI WATU KUKUFURU kwa Mwenyezi Mungu jua WANAKUSANIFU, HAWAKUPENDI, HAWAKUTAKII MEMA na kwamba ANGUKO LAKO wala HALIKO MBALI nawe.

Hata Mimi GENTAMYCINE ninaeandika hapa NAKUPENDA MNO kama siyo SANA na ndiyo maana unaona huwa NAKUKOSOA na pale nikiona umepatia NAKUSIFIA ila nasikitika kuwa nami pia umeniweka katika Kundi la Watu (Keyboard Warriors) unaowaona ni ADUI KWAKO MITANDAONI (hasa hapa JamiiForums)

Mheshimiwa Rais Samia kama kuna UTAJIRI MKUBWA ambao Mwanao Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimepewa na Mwenyezi Mungu ni wa KUONA MBALI, KUSHAURI VYEMA na AKILI na sishangai ndiyo maana hata KIASILI nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" katika Maisha yangu.

Ushauri wangu mkubwa Kwako ni kwamba penda KUKOSOLEWA, JITATHMINI, SAMEHE WALIOKUKWAZA hasa KISIASA, SHIRIKIANA NA WALE ULIODANGANYWA NI MAADUI ZAKO kwa MASLAHI YA MAMA TANZANIA na KATAA KABISA kuwa chini ya MACHAWA ambao 24/7 WANAKUHARIBIA bila ya Wewe kujua.

Ukijirekebisha nina uhakika wa 100% unaweza kuja kuwa Rais bora kabisa Mwanamama kuwahi kutokea katika Bara la Afrika na pengine hata Duniani.

Naomba Mzanaki, Myao na Mtutsi Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niishie hapa ila niseme tu kwa Jicho langu HATARI la NDEGE TAI naona kuna TATIZO KUBWA mahala kwa Tanzania yangu hivyo waite WASAIDIZI WAKO wakufafanulie vizuri japo nina wasiwasi kutokana na UCHAWA WAO na kutotaka kupoteza NAFASI ZAO ukikutana nao watakuambia Mama kila kitu kipo vizuri achana na huyo Mpuuzi GENTAMYCINE na hao 'Keyboard Warriors' wengine JamiiForums kwani wana WIVU na CHUKI nawe halafu ni WAPINZANI kutoka CHADEMA.

Uwe na Jumatano Njema Mh. Rais Samia.
 
Sasa washauri wenyewe ndio kina Lukas mwashambwa, wanabubujikwa na machozi Kwa kusifia inategemea Nini?,Lazima uharibu!
 
Anafuata mfano wa godfather wako marehemu wa Chato.

Hata hivyo Samia alikuwa anakosolewa vizuri tuu ila walipoanza kumdharirisha utu wake akaamua kujihami kama binadamu.

Mwisho hata Sasa ni Rais Bora kabisa kwenda masuala ya delivery ya Maendeleo, uchumi na Biashara
Kuna muda huwa unakuwa na Akili sana hasa kwa Uwasilishaji wako ila sijui muda mwingine huwa unavuta Bangi au la. Una Uchawa kwa Mama ila sometimes huwa unajitambua na hufanani na hili Certified Imbecile Lucas Mwashambwa
 
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye AKIWAPENDA na kudhani WANAMSAIDIA hasa Kiufanisi na kwa Watanzania.

Hakuna BINADAMU anayefanikiwa au anayejua mapungufu yake iwe KIUTENDAJI au KIMAISHA kama ama hapendi au hakubali KUKOSOLEWA na kwa Sisi wenye IMANI na kidogo mambo ya SAIKOLOJIA tumeyapitia tunaamini kuwa ukiona UNAKOSOLEWA JUA UNAPENDWA na UNATAKIWA MEMA na ukiona kila mara tu UNASIFIWA HADI WATU KUKUFURU kwa Mwenyezi Mungu jua WANAKUSANIFU, HAWAKUPENDI, HAWAKUTAKII MEMA na kwamba ANGUKO LAKO wala HALIKO MBALI nawe.

Hata Mimi GENTAMYCINE ninaeandika hapa NAKUPENDA MNO kama siyo SANA na ndiyo maana unaona huwa NAKUKOSOA na pale nikiona umepatia NAKUSIFIA ila nasikitika kuwa nami pia umeniweka katika Kundi la Watu (Keyboard Warriors) unaowaona ni ADUI KWAKO MITANDAONI (hasa hapa JamiiForums)

Mheshimiwa Rais Samia kama kuna UTAJIRI MKUBWA ambao Mwanao Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimepewa na Mwenyezi Mungu ni wa KUONA MBALI, KUSHAURI VYEMA na AKILI na sishangai ndiyo maana hata KIASILI nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" katika Maisha yangu.

Ushauri wangu mkubwa Kwako ni kwamba penda KUKOSOLEWA, JITATHMINI, SAMEHE WALIOKUKWAZA hasa KISIASA, SHIRIKIANA NA WALE ULIODANGANYWA NI MAADUI ZAKO kwa MASLAHI YA MAMA TANZANIA na KATAA KABISA kuwa chini ya MACHAWA ambao 24/7 WANAKUHARIBIA bila ya Wewe kujua.

Ukijirekebisha nina uhakika wa 100% unaweza kuja kuwa Rais bora kabisa Mwanamama kuwahi kutokea katika Bara la Afrika na pengine hata Duniani.

Naomba Mzanaki, Myao na Mtutsi Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niishie hapa ila niseme tu kwa Jicho langu HATARI la NDEGE TAI naona kuna TATIZO KUBWA mahala kwa Tanzania yangu hivyo waite WASAIDIZI WAKO wakufafanulie vizuri japo nina wasiwasi kutokana na UCHAWA WAO na kutotaka kupoteza NAFASI ZAO ukikutana nao watakuambia Mama kila kitu kipo vizuri achana na huyo Mpuuzi GENTAMYCINE na hao 'Keyboard Warriors' wengine JamiiForums kwani wana WIVU na CHUKI nawe halafu ni WAPINZANI kutoka CHADEMA.

Uwe na Jumatano Njema Mh. Rais Samia.
Samia amevuruga sana kwenye siasa na haki za watu.

Tena, unnecessarily.

Anaua watu wengine ambao yaani HAWANA MADHARA kabisa.

Ukiangalia jinsi, anavyojitahidi ku-handle uchumi, miradi aliyoacha Magufuli binafsi nakubaliana na wewe.

Samia angekuwa Rais bora kabisa.

Ila hili la kutaka kila mtu akusifie, ushinde kwa 200%, unaiba mpaka uchaguzi wa kitongoji wa nini???

Hili halijawahi kuwepo dunia hii, atahangaika miaka 200, kuua, kufunga na kupora watu vyeo lakini wakosoaji hawatakuja kuisha.
 
Ila responce yake ya jana mbele ya hadhara haikuwa na umuhimu hata Bashe alikosea. Alikuwa na uwezo wa kumwita Mpina pembeni na kumpa makavu na onyo kuhusu any bad statement na behavior yake. Ila naona of now days kama Mama amekuwa mwenye hasira za haraka sana na mrahisi kujibu. Angeiga kwa JK kidogo siyo kila hoja ni ya kujibu. She is still a good leader ila anahitaji kuwa makini kwenye hili..kutokujibu kila hoja, kukubali kukoselewa na kuresolve issues kimya kimya..
 
Acha maneno meengi, uwezo hana...hatoshi kwenye nafasi aliyonayo!!.
 
Back
Top Bottom