Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Kwa hiyo huko mtaani kwako huwa huyaoni haya ? Kama hutaki makaratasi Kuna picha hizi hapa za Wavuvi wakipewa Boti na Samia,au nazo ni Makaratasi? πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡
 
Wote wamefanya makubwa na Okello ni zaidi kwani ndiye chanzo cha muungano.
Achana na habari za Muungano watu wnataja waone na kusikia specific vitu alivyofanya Samia kama mambo haya kwenye Madini πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1787815706144219381?t=C9-medQ9Ul44w5dN4LTB9A&s=19
View: https://twitter.com/twendenamama/status/1787815860377203193?t=q6NbFqFIqeG9CoV_tTyBag&s=19
My Take: Utasikia Madini ni Magufuli 😁😁😁,tuonesheni alichofanya Mzee wa makinikia.
 
Nadhani Mtanganyika Magufuli ndiye aliyepingwa zaidi, pengine kuliko Marais wote ukimwondoa hayati Nyerere..

Kumpinga/ kumkosoa Rais nadhani ndiyo mchezo wenyewe wa siasa za vyama vingi. Sio uadui ila wajibu wa kila aliye kwenye siasa.

Na walio nje ya siasa wanapima kwa kadri hoja zinavyowekwa, hasa kwa huu mwaka wa uchaguzi muhimu sana wa Serikali za Mitaa.

Ova
 
Jambo kubwa ambalo awamu hii limefanya vyema kuliko awamu zote ni kukopa tu. Yupo vizuri.
.... (b) kuzungumza kwa upole bila kukemea hadharani
......(c) kuleta wapiga debe wa nguvu sana karibu serikalini na kuwapa kipaza sauti wakiwa na kazi kubwa ya kusifia miradi iliyokamilishwa na utawala huu na kuponda utawala ulioanzisha miradi hiyo.
.......(d) kuruhusu urefu wa kamba yako uamue ukubwa mlo wako; ole wako kama kamba yako ni mm 1 tu.
...........(e)..
 
Kawapa wazanzibari wenzake,nenda ziwa Victoria au Tanganyika au Nyasa kama utayaona haya au onyesha picha za kutoka huko.
Zanzibar kuna Rais Sasa awape kama nani?

Ila ni kweli sikuona vizuri hapa alikuwa anatumia pesa za Tanganyika kuwapa Wazanzibar πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C2uPkLBNX85/?igsh=MW56MWNxeTNseHBqdw==

Yule mwingine hata haelewi chochote kuhusu kuongeza Pato la mwananchi na kumuondoa kwenye umaskini 🀣🀣
 
Mnampiga Samia au mnaeneza Chuki binafsi?

Pili yule mrundi sio Mtanganyika,Ile sio roho ya Watanganyika
 
Kauza Ngorongoro,KIA,Bandari,Misitu.........
 
Na JK naye aliyeitwa dhaifu, naye ni wa nchi gani?

Ova
Huyo ndio Mtanganyika mwenzenu.Kwa Samia mumekosa hoja mnaanza kumtambulisha Kwa njia ya ukabila na ubaguzi wa maeneo.

Hiyo.Dhambi imekita mizizi huko Chadomo
 
Rubbish.
Toa mapambio yako yasiyo kichwa wala miguu. Bibi ni moja ya failure leaders hapa Tanganyika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…