Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style

Rais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).

2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).

3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).

Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Dah huu mwiba mkali mno kwa wapinzani wake. Hivi kwa nini Mama hakutumia akili kujijua yeye ndiye Rais???? Hivi kwa nini anakubali kubeba ajenda za wanasiasa badala za watalaamu wake na washauri wake? Mbona vyombo vilivyomzunguka vina majibu ya kila jambo??? Au anawadharau mpaka hao washauri wake??? Hakika Mama
Tumuombee ili akili ifunguke aachane kabisa na wahuni awe yeye kama yeye
 
Mama wanu anazingua, akae pembeni mpango amalizie shoo shoo, kisha 2025 wananchi waipge chini fisiyemu.
 
Kuhusu nyongeza ya 23% kiuhalisia hilo hakulisema siku ya Mei Mosi, lilisemwa na watendaji wake wengine baada ya mei mosi, na bado hawakupotesha (walisema kima cha chini cha mshahara kingeongezeka kwa 23%), ni kweli nyongeza imetokea kwa 23% lakini kwa kima cha chini.

Hadaa kubwa zaidi aliwahi kuisema Rais Samia kwa umma ni kudai yeye na Magufuli ni kitu kimoja wakati kiuhalisia ni watu wawili wenye kukinzana kwa 90% ya utendaji wao.
Hilo la kufanana na Maguful, nalo alifafanua kuwa agenda Yao Ni moja isipokuwa inaweza kutekelezwa kwa njia na mbinu tofauti.

By the way, ningeshangaa Sana Kama angemuiga yule kichaa kwa kila kitu. Maguful mwenyewe alishajua tu kuwa anakwenda ku face anguko la aibu. Alikuwa na mawazo mazuri lakini njia haramu za utekelezaji.
 
Rais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).

2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).

3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).

Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Tuchukue jembe tukalime
 
Naona wewe ndio unatudanganya. Mbona yote katekeleza.
1. Anaendelea kukutana na viongozi wa siasa
2. Sijasikia miradi kusimama zaidi naona akiingia mikataba ya lots nyingine za SGR
3. Watumishi wamepandishiwa mishahara. Wewe ulidhani kila mtu atapandishiwa kwa 23.3%? Huwa haiko hivyo, hiyo ni kiwango cha juu na inaenda inashuka. Kwenye eneo la wafanyakazi hapa Rais kafanya mengi ndani ya mwaka mmoja: Kapunguza PAYE, kapandisha watumishi madaraja (mana yake wamepanda ngazi za mishahara), kafuta tozo kwenye mikopo ya wanafunzi, nk. Sisi kwenye sekta binafsi hatujapata kitu wenzetu mnapata ila hamna shukrani.
 
Weye ndiye msemaji wake?
 
Ww una akili ndogo tu Mama wala hana tatzo, kweny hyo asilimia 23.3% alisema n kwa wale wa kima cha chin wanaopokea kuanzia kias kama laki tatu hv na wala si kwa kila mtumish hasa wale weny mishahara mikubwa, acha kukurupuka na kama uliwaahid watu utanunua gari ushakwama.Tumia akili kufikir.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mbona hata wa kima cha chini hatujaona hiyo 23%
 
2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).
Hebu ainisha hiyo miradi aliyoitelekeza, au ulitaka akwapue account za wafanya biashara kama ilivyokuwa hapo kabla?

Miradi mikubwa ya SGR, JNHP na daraja la Mwanza inahitaji fedha nyingi sana lakini pia tulijua jinsi fedha zilivyokuwa zinapatikana kwa kufilisi mali za wafanyabiashara ambao wengi mpaka leo hawajalipwa.
 
Rais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).

2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).

3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).

Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Hujui lolote kuhusu mishahara wewe kaa kimya. Unafikiri mishaharainaongezwa kwa flat rate ? Hujasoma basic math?
Bora samahi
 
Kuhusu nyongeza ya 23% kiuhalisia hilo hakulisema siku ya Mei Mosi, lilisemwa na watendaji wake wengine baada ya mei mosi, na bado hawakupotesha (walisema kima cha chini cha mshahara kingeongezeka kwa 23%), ni kweli nyongeza imetokea kwa 23% lakini kwa kima cha chini.

Hadaa kubwa zaidi aliwahi kuisema Rais Samia kwa umma ni kudai yeye na Magufuli ni kitu kimoja wakati kiuhalisia ni watu wawili wenye kukinzana kwa 90% ya utendaji wao.
Wazanzibar bana!! Kaisome tena, Rais amekubali nyongeza ya 23.3% ikiwemo kima cha chini. Rudia kisoma hiyo nakala ya serikali.
 
Rais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).

2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).

3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).

Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Afadhali mmeanza kuelewa alivyo.
 
Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style ili muda uende. Ili Urais sio lele mama.​

Back
Top Bottom