As a female athlete, I honestly say shame on her. Unfortunately being a leader you need emotional intelligence.I thought she had more exposure than late Magufuli, more organized and articulate in her speeches. But, I was wrong.
It's a shame for the President not to know what is and isn't politically correct to speak in public.
She has to apologize for her derogatory remarks concerning women footballers.
As a female athlete, I honestly say shame on her. Unfortunately being a leader you need emotional intelligence.
I couldn't agree more.As a female athlete, I honestly say shame on her. Unfortunately being a leader you need emotional intelligence.
Wewe unaweza kuoa wale wadada wacheza mpira namna walivyojiweka mhhhh!Nimeshawaona na wapowengi wa namna hiyo na wana ndoa zao maisha yanaenda.
That statement was too low for her position.
Kwa hiyo ukitaka kutoa kauli lazima uwafikirie wazungu wataichukuliaje? Au unamaanisha nini kaka?Ni kweli kabisa alisema hayo maneno. Akiwa kama kiongozi wa nchi, tena Mwanamke hakupaswa kabisa kutamka hayo maneno dhidi ya Wanawake wenzake tena mbele ya vijana wa Kiume.
Kauli tata za viongozi huwa zinaleta ukakasi sana hasa kwa Wazungu. Kumbukeni yule Kiongozi wa Olympic kule Japan alivyoshambuliwa mpaka akajiuzulu baada ya kusema "wanawake wana ongea sana".
Kwa maneno hayo hata kama yalikuwa na ukweli lakini yalichukuliwa kuwa ni dharau kwa wanawake.
Sasa Madam SSH naye amesikika akisema, "wachezaji wanawake wanasura ngumu sana, ukimpeleka nyumbani Bi mkubwa atakushangaa na kukuuliza huyu ni mwanaume mwenzio au mwanamke"?
Ki ukweli Madam alikosea sana kusema hivyo. Naamini ataomba radhi maana Wazungu watamshikia bango mbaya. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angeshajiuzulu.
Tutarajie FIFA womens org kutoa tamko kali sana kulaani matamshi ya Madam President SSH.
Swali la kujiuliza, hakuna watu wa kumwandikia hotuba Rais Samia?????
26 August 2021
LIVE: CHAMA CHA SOKA LA WANAWAKE (TWFA) WANAZUNGUMZA NA WANAHABARI
Kama yeye! Kilangila.Anataka wote wajazie mtindi kama nani vile