Rais Samia anadanganywa sana Mapinduzi ya Kilimo ya Bashe

Kuna vijana waliwahi kwenda israel kusomea kilimo,, mzumbe pale nasikia kuna shule ya kilimo, wao mda wote wanafanya kilimo,,
Wataalamu wapo, tatizo ni tabia ya udokozi wa hela😁
Sasa ndani ya miezi minne eti watu wanalishwa,kunyweshwa na kulala bure. Huo ni uharibifu kama wanafundishwa nibora huo mradi wangepewa maafisa ugani wasiokua na ajira mitaani kwakua kuna vifaa wao wangefanya kwa ufanisi zaidi.
Hii inamaana kipindi hicho cha miezi minne tungepata mazao
 
Hata hao watavuna
 
Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.

Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.

Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;

1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.

Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.

Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?

2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.

3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?

4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,

Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.

Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?

Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?

5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?

Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?

Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?

Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?

Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?

Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?

Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Mtaongea hadithi zote ila Samia yuleee Kimataifa
 
Pamoja na mapungufu kidogo ya Bashe, bado mimi ndio naona ndiye waziri bora wa kulimo toka tupate uhuru,na atakipeleka kilimo katika viwango vikubwa sana.
Soko la hayo mazao ni wapi sijasikia hilo jambo likiongelewa
 
Wamesema wenyewe mwaka huu wa fedha bajeti iliongezwa zaidi mara 3 kutoka bil 250 hadi bil 750. Hivyo tulitegemea hayo yawezekane
Hata hivyo imebaki miezi mitatu tu mwaka wa bajeti kuisha na Hakuna matokeo chanya ya ongezeko hilo kubwa
Mwaka wa Bajeti kuisha hauna muendelezo?
 
Ungewekeza kutuonesha ubaya wa hiyo programme iliyozinduliwa jana na Rais tuone udhaifu wake, lakini sio kuleta habari za mapinduzi ya elimu ya kilimo, utafiti, viwanda...

Hayo yote uliyoorodhesha yako nje ya huo mpango, kwangu bado sijaona tatizo la hiyo programme, nasubiri mpaka pale watakapovuna kisha nione wakulima watafaidika vipi.
Nitajie masoko watakakouza hayo mazao
 
Baada ya msimu mmoja wataanza kupungua mmoja baada ya mwingine.
Block farming sio suluhisho la mapinduzi ya kilimo.
Nyakati hizi ni za kutumia teknolojia, sasa Mhe. Bashe yeye bado anaamini kwenye nguvu kazi. Tujiulize zile schemes za umwagiliaji zimefia wapi?
Ni kweli Mhe. Bashe anauthubutu ila ni uthubutu wa kisiasa. Ardhi tunayo ya kutosha tunachokosa ni teknolojia.
Hili lilieelezwa wazi Bungeni kwamba Tume ya umwagiliaji ilitelekezwa hakuna staff Wala Bajeti Wala Vitendea kazi..

Akili.kubwa ya Samia na Bashe ime address hayo Kwa kuajiri wahandisi,kuwapa supersion na magari ya Usimamizi.
 
Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.

Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.

Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;

1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.

Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.

Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?

2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.

3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?

4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,

Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.

Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?

Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?

5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?

Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?

Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?

Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?

Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?

Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?

Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Huyo tulishamuina kitambo kuwa ni orator. Hiyo wizara itaishia kutumia pesa nyingi pasipo kuleta matokeo.
Bashe kwa kipaji chake cha kuongea huwa ana uwezo wa kuwaweka kwapani 90% ya watanzania halafu akaenda kuwamwageni atakako yeye na bado msizinduke
 
Kule Israel wamefanya Research na Development zakutosha kabla hawajaanza lima.

Tanzania hatujafanya research yoyote ile, ni kwamba Waziri kaambiwa na mwenzake, kaona gap la kupiga pesa wamefanikisha lengo lao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama research gani? Boost ya Kilimo soko hayo mambo ya research ninkwa wenye eneo dogo na wanaotaka kulima large scale plantations
 
Huyo tulishamuina kitambo kuwa ni orator. Hiyo wizara itaishia kutumia pesa nyingi pasipo kuleta matokeo.
Bashe kwa kipaji chake cha kuongea huwa ana uwezo wa kuwaweka kwapani 90% ya watanzania halafu akaenda kuwamwageni atakako yeye na bado msizinduke
Huna lolote,wewe ulichoweza ni kipi?
 
Baada ya mwaka najua watakimbia tu. Nataka nikajichukulie drip kwenye yale mashamba niziweke nyumbani. Nibebe vifaa vyte vya kisasa vitanisaidia.
 
Kubwa zaidi ni miondombinu ya barabara na umwagiliaji huko vijijini kwa wakulima
Unaijua Tarura? Umetembea Vijijini?

Samia anajua anachofanya ,ameongeza Bajeti ya Tarura kutoka bil.275 aliyoikuta Hadi Bil.800 Kwa Sasa.
 
Bashe akiendelea kuwa Waziri wa Kilimo, mchele na mahindi yote yatasombelewa na kupelekwa Somalia na Kenya kila mwaka.

Wakati wa mavuno, atawaleta ndugu zake wafanyabiashara kuja kununua mazao ya wakulima kwa bei chee kwa kisingizio cha soko huria, na mwisho wa siku kuendelea kutusababishia mfumuko wa bei katika bidhaa za chakula.
Ndo inavyotakiwa sasa
 
Back
Top Bottom