Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,739
Wamesema wenyewe mwaka huu wa fedha bajeti iliongezwa zaidi mara 3 kutoka bil 250 hadi bil 750. Hivyo tulitegemea hayo yawezekaneUlitowa fedha za jufikisha huo mradi kila mkoa?
Hata hivyo imebaki miezi mitatu tu mwaka wa bajeti kuisha na Hakuna matokeo chanya ya ongezeko hilo kubwa