Zaidi ya Chuki hakuna Cha maana umeandika.Watu kama nyie ambao ni looser mnatakiwa kupuuzwa.
1.Miaka ya Leo haihitaji walimu wa agriculture wasio hata na shamba darasa ndio maana waliofundishwa na.hao walimu hakuna kitu wamefanya..
Elimu ya Sasa itafundishwa na watu walioko kwenye field Kwa kwenda kuona na kurudi kufanya practice.
2.Eti utafiti,Kwa taarifa Yako Serikali imeongeza Bajeti ya utafiti mara 6 zaidi ya ilovyokuwa hapo nyuma,inafufua mashamba ya utafiti,inatoa Vitendea kazi na inatoa mafunzo Kwa watafiti, Bajeti ya Kilimo Bil.950 Kuna pesa ya utafiti humo.
Kama mlishindwa huko awali ni nyie.
3.Hiyo namba 3 umeandika ujinga,kwani bila hiyo ZZK farm equipments hazipatikani? Serikali Kwa kushirikiana na private sector inawezesha ujenzi wa viwanda vitakavyochukua mazao ya wakulima na kuyaongeza thamani..
4.Aliyekwambia watu wote wanalazimishwa kwenda Dom ni nani? Ukiona hata form ya maombi au unapayuka upuuzi wako tuu?
Kwa taarifa Yako Kila muombaji alitakiwa kuomba kwenye eneo lake,hapo wameanza na watu wa Dodoma aila kuna.ekari 600,000 Nchi nzima na kote huko Vijana watafikiwa hatua Kwa hatuo,pilot project ndio imeanzia Kwa watu wa Dodoma na mazao yatakayolimwa ni Yale yanayokubali eneo husika na soko la uhakika.
5.Taasisi zimeandaliwa kuanzia wawezeshaji wa kipesa kama banks eg Benki ya rasilimali unapata mkopo wa riba ndogo na unapewa mda wa matazamio kulingana na mazao unayozalisha.
Regulators wengine nao wanafuata hivyo hivyo
Mwisho mazao mengi yatayozalishqa ni Yale ambayo tayari Yana soko,yaani kiufupi kinachofanyika ni contract farming.
View attachment 2560555